huyu mpwa anasifia magari anasahau tukutuku bana!wakati chawote tukipaki pale tunaonekana kama miungu-watu
ni ugonjwa!
hahaha!ngoja,nitaku-piemu sasa hivi..............!Au hajui Elizabeth alishapanda tukutuku from Zero pub to Chawote? hahaha! Jana nilimpa salamu zako akakugongea senksi!
Ha ha ha ha,
Inabidi watu wa manukato wagawe bure kama promo ili wazoee jamani hali ni mbaya, mitaro michafu watu wanatema tuishi wapi sasa?