...Of what?Xenophobia
mbona unatusalit mkuu "hekima,umoja&amani..."mbona ulikuwa uparuki apa wakat wakuimba wimbo wa taifa...umoja wako uko wap mkuu...note that Ngosha says we in rait tirak ko usiukane mkuu nakuomba....Ndio maana nasema mimi sio mtanzania
MHhn!!Tusichukie wageni tujifunze kwao expertise na kupenda kazi. Ukweli mchungu vijana wengi wa kitanzania wavivu,wezi,wadokozi,,wana tamaa za kupata mafanikio ya gafla.
il tatzo lipo Allover the world wamarekan wanapenda kuajiri Wamexico,Chinese, wakidai Vijana wao wavivu...ukienda Zambia, Malawi, Angola&Botswana unakutana na cfa kedekede kuw watz ni wachapakazi.wananidham katka kaz ila ukija Tz in hao ao wanasemwa ni wavivu...nadhan ni mother nature ya binadamu ote.ukiw nyumban wanakuwa free sana ila ugenin unakw mturvu na nidham kulko ukiwa nyumbna.....Just is opinionsTusichukie wageni tujifunze kwao expertise na kupenda kazi. Ukweli mchungu vijana wengi wa kitanzania wavivu,wezi,wadokozi,,wana tamaa za kupata mafanikio ya gafla.
Kabla ya kulaumu serikali jiulize kwanini muajiri ambaye ni Mtanzania anaamua kumajiri mkenya au Mganda akaacha ndugu ze Watanzania?Yeah,
Ni Tanzania pekee vijana lukuki wenye sifa hawana ajira lakini bado serikali inasita kuwatimua wageni ambao hawana vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini.
Just imagine number ya walimu ambao hawana ajira, then angalia namba ya Walimu wageni. Hapo hujagusa sekta ya utalii na kwingineko.
Ingekuwa Kenya kitambo Watz wangeshafurushwa.
Shame on you responsible authorities.
Hii sawaNi Tanzania pekee[emoji18] View attachment 923794