Mwanamasala sina uhakika kama umekielewa vizuri kilichoko kwenye thread.Inaniwia vigumu kama unayaelewa vizuri mazingira ya thread hii.Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009
enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
Hao Wamang'ati wako wakipigwa sopu sopu na shopping la nguvu Bloomingdales nakuhakikishia wataacha kuvaa hivyo vingozi ngozi vyao...unawapiga shopiing spree la nguvu...halafu unawapeleka spa...halafu unawapeleka kwa wachina kwenda kutengenezwa kucha zao...manicure na padicure la nguvu...hehehehe....wewe acha tu...unadhani watakumbuka hivyo vingozi? Unacheza wewe

Mwanamasala chochote kinachowezekana kifanyike tena kwa muda muafaka,mbuzi alikuwa anahitajika mapema na bila shaka jamaa alimfikisha kwa muda muafaka,si unajua tena mambo ya hitima,thats all!!!tujivunie ubunifu tulionao!!Sipati point yako!Huwezi kupata mtu Amsterdam amepakia Mbuzi namna hiyo,though baiskeli ni nyingi!