Ni Suala la muda tu

ntemintale

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
956
Reaction score
1,878
Ni suala la muda tu utawala wa mabavu utafika mwisho. Ni suala la muda tu kila mwenye mamlaka atageuka raia. Ni suala la muda tu aliyeko mbele atarudi nyuma.

Kiasi ni jambo jema Sana
 
Ni kweli ni suala LA mda tu nchi sio ya baba zetu
 
Hata Sadam Hussein hakujua kuwa atajificha shimoni, wakati ulipofika ilibidi aingie shimoni make hakukuwa na namna ya kumkwepa Bush wa USA
 
ni suala la muda" kweli " ndio", lakini mpaka huo muda ufike", watu wengi watakuwa wameshapitia " maumivu " makubwa ya utesi' na wengine kupoteza maisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…