Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,206
Ni mambo ya kijiweni sehemu wanakaa wanaume zaidi ya wa,3 hakna story nyingne zaidi ya ayo mambo afu mengne ni utani tu. afu sio kutoka mkoa mmoja ndo uwe shemejiAcha tamaa, yaani unafanya hizo mambo mbele za shemeji yako.....
Mtu muungwana lazima aseme tuu maana anawaza kama Utafanya hivyo ukiwa nae je ukiwa peke yako????
Kama unatongoza jaribu kuwa msiri sasa sio unafanya sifa huku una mke
Nishamwambia mazoea sitaki maana hata uyo mke wangu anaemuita dada hasingemjua kama sio mimiEndelea na mazoea naye mkuu, siku uje ukute yupo kinenani kwa mkeo ndio akili zitakukaa sawasawa