Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Likwanda watoto wengine unaeza sema wamelala kumbe wanafatilia game linavyoendelea na ukjifanya kumshtua ndo anajifanya anakoroma ile mbaya.....PG VL
Hapa hata wale over 18 hawaruhusiwi kuangalia live game, hivyo tuwatendee haki watoto kama mazingira ni magumu ni bora game zichezwe wakati watoto wamelala.
Duh, mkuu una experience ya hali ya juu sana. Congratulation!
Hiv ni sahihi mtoto kuona baba na mam yake wanafanya mapenzi? Mtoto wa miaka miwil,.Hajui hata kuongea vizuri, Kwa huu umri atakuja kukumbuka alichoona?
Mmmmhhh..ni mtihani..Akilala mkianza anashtuka na hatak kulal pemben..yey ni katikati tu..Na mkiwepo ndani hatak kucheza mbal na nyie..
hapo ni kimya kimya hakuna miguno wala nini, kukosa pesa mbaya sana jamani!

hiibila miguno haiendi wengine hawashuki mpaka wasikie miguno
ile kitu nayo ikichanganya unaweza ukadhan upo kimya kumbe unatoa miguno ile mbaya