sulfametopyrazine
Senior Member
- Apr 3, 2013
- 134
- 26
Hbr za wknd wana jf wa tech...mm nina kasimu kang ka galaxy mega 6.3 afu kwa jins ninavyoona mm niki root simu yang kuna fiada kadhaa na hasara kadhaa...embu nijuzen faida na hasara ya ku root cmu..nawatakia wknd njema najua saiv ucku wa2 wanajiandaa kwenda kwny michepuko..kila la kher uckamatwe..
Sawa mkuu nshakuelewa leo leo ucku na root
Mkuu nimefanikiwa kuistall poot,ministro II na imedownload QT libraries.
sasa nikienda hatua ya press here to poot inazima.Simu yangu ni tecno p3.
Je!Nifanyeje sasa?
PLEASE,Msaada.
Unaiacha irestart. Si ajabu ukawa usharoot.
Unaiacha irestart. Si ajabu ukawa usharoot.
Sina hakika,sasa haizimi ila inaleta maelezo mengi yanagoishia hivi A DEMON WAS MATERIALISED WHILE POOTING.ERROR CODE 22.su binary was not written
Pia nimewahi fanikiwa kuroot kwa kutumia pc kwa software ya Mobogenie.Je,njia hii ni bora pia kama ya kitumia poot?
Samahani,usichoke.Je! Ku-root kwa kutumia pc kunafanya sawasawa naku-root bila kutumia pc kama vile Poot?