Tanzania ina watu milioni 42 na raisi amechaguliwa na watu milioni 5 ambao ni sawa na asilimia 12% ya watanzania wote.
Chama cha mapinduzi kina wanachama milioni 5 kwa nchi nzima.Kimahesabu inaonesha kuwa Rahisi(Simple) kachaguliwa na wanachama wote wa Chama Cha Mafisadi(CCM)ambacho kina wanachama milioni 5.
Kwa hiyo huyu ni rahisi wa CCM na sio wa watanzania.Nawasilisha hoja