Ni Rais wa wana-CCM na si wa Tanzania!!!

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
147
Tanzania ina watu milioni 42 na raisi amechaguliwa na watu milioni 5 ambao ni sawa na asilimia 12% ya watanzania wote.

Chama cha mapinduzi kina wanachama milioni 5 kwa nchi nzima.Kimahesabu inaonesha kuwa Rahisi(Simple) kachaguliwa na wanachama wote wa Chama Cha Mafisadi(CCM)ambacho kina wanachama milioni 5.

Kwa hiyo huyu ni rahisi wa CCM na sio wa watanzania.Nawasilisha hoja


 
kilichofanyika ni kulazimisha hesabu kuwa wapiga kura ni milioni 8 tu, tulipiiga zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom