Sijui kama nakijua au sikijui. Ndiyo maana nikauliza.Na Mimi naomba kukuuliza.
Je,hicho ulichokiuliza unakijua Au hukijui?
Maisha ni kama ndoo ya kuwekea maji.Hakuna maana halisi ya maisha.
Ukiondoa neno uhai, ni ngumu kupata maana generally Bali ni wewe unavyoyachukulia
Fafanua kidogo mkuu.Maisha= mapenzi+vita
Exactly, life is how you define it in your own way.Maisha ni kama ndoo ya kuwekea maji.
Ukiamua kuijaza mchanga, itajaa mchanga.
Ukiamua kujiaza maji, itajaa maji.
Ukiamua kuikata na kuifanya kama kofia, itakuwa kofia.
Ukiamua kuifanya choo uinyee, itakuwa choo.
Halafu mtu anakuuliza nini maana ya ndoo hii?
Utamjibuje?
Maana ya maisha unayapa wewe unayeishi kwa kuyafanya ni nafasi ya kufanya unachonuwia kufanya.
Sio kila mwenye Kuuliza kitu basi hakijui hicho kitu,we umetumia neno maana Katika swali lako halafu hapo hapo unataka ufahamishwe kuhusu neno Hilo hilo.Sijui kama nakijua au sikijui. Ndiyo maana nikauliza.
Maana ninayoijuamimi inaweza kuwa tofauti na maana anayoijua yeye.Sio kila mwenye Kuuliza kitu basi hakijui hicho kitu,we umetumia neno maana Katika swali lako halafu hapo hapo unataka ufahamishwe kuhusu neno Hilo hilo.
Kiranga katika ubora wakeMaana ninayoijuamimi inaweza kuwa tofauti na maana anayoijua yeye.
Mathalani.
Maanakwa upande mmoja inaweza kuwa undani wa kitu, mantiki ya kitu,ukweli wa kitu, sababu ya kitu.
Mtu anaweza kuuliza "Kikombe hiki kuachwa hapa maana yake nini?"
Akajibiwa, hapa wanapita wasafiri wengi wenye kiu ambao hawana kikombe cha kuchotea maji mtungini, na tumewacha kikombe hikihapa kwa maana ya kuwapa nafasi wanywe maji".
Maana pia inaweza kuwa ni uzuri wa kitu.
Kwa mfano, mtu anaweza kukuambia "Mtu mmoja kumuua mwingine kwa sababu ya mali si jambo la maana, ni unyama. Jambo la maana ni kumsaidia anayehitaji msaada".
Kuna maneno ambayo kwa kiingereza yanaingiliana lakini kiswahili yote yanaweza kusemwa kwa neno maana.
Purpose and meaning.
Kwa hivyo,mtu anayeelewa maana moja au mbili za neno maana anaweza kabisa kuuliza na kusema.
"Maana ya maana ni nini?"
Kwa sababu.
Mtu mwingine anaweza kukuambia kwamba, kibaiolojia, maana ya maisha ni muendelezo wa maisha.Tuzaane na tuzidikuzaana na wanetu wazane wazidikuzaana, ndiyo maana DNA zinaji copy na kujizidisha, hii ni tabia ya asili ya maisha.
Hili ni jibu tosha kabisa la kinaiolojia.
Lakini, kwa mtu anayetafuta jibu linalotoa umuhimu wa maisha, jibu hili halitamfaa.
Jibu hili litamfamnya aulize tena, hilo najua, lakini tunazaliana ili iweje? Umuhimu wa kuzaliana ni upi? Hata virusi wa kompyuta wanaoharibu habari wanajua kuzaana na kujieneza, kuzaana na kujieneza kuna umuhimu gani?
Ndiyo maana nikaona umuhimu kwamba, kabla ya kuingia ndani sana, ni lazima tujue maana inayoongelewa hapani ipi?
Nikauliza, maana maana yake nini?
Hili jina la huyu mwamba naona mpaka itabidi nilikubali tu.
Hapo umeonesha kwamba ulikosea Kuuliza swali,ulitakiwa uulize maana inayoongelewa hapa ni ipi na si Kuuliza kwamba maana maana yake nini? kwa sababu ungejibiwa kwa kuorodheshewa aina mbalimbali tofauti za maana kama ulivyofanya ungekuwa umejibiwa swali lako lakini kumbe sivyo ambavyo ulitaka kujua ama ulivyokusudia.Maana ninayoijuamimi inaweza kuwa tofauti na maana anayoijua yeye.
Mathalani.
Maanakwa upande mmoja inaweza kuwa undani wa kitu, mantiki ya kitu,ukweli wa kitu, sababu ya kitu.
Mtu anaweza kuuliza "Kikombe hiki kuachwa hapa maana yake nini?"
Akajibiwa, hapa wanapita wasafiri wengi wenye kiu ambao hawana kikombe cha kuchotea maji mtungini, na tumewacha kikombe hikihapa kwa maana ya kuwapa nafasi wanywe maji".
Maana pia inaweza kuwa ni uzuri wa kitu.
Kwa mfano, mtu anaweza kukuambia "Mtu mmoja kumuua mwingine kwa sababu ya mali si jambo la maana, ni unyama. Jambo la maana ni kumsaidia anayehitaji msaada".
Kuna maneno ambayo kwa kiingereza yanaingiliana lakini kiswahili yote yanaweza kusemwa kwa neno maana.
Purpose and meaning.
Kwa hivyo,mtu anayeelewa maana moja au mbili za neno maana anaweza kabisa kuuliza na kusema.
"Maana ya maana ni nini?"
Kwa sababu.
Mtu mwingine anaweza kukuambia kwamba, kibaiolojia, maana ya maisha ni muendelezo wa maisha.Tuzaane na tuzidikuzaana na wanetu wazane wazidikuzaana, ndiyo maana DNA zinaji copy na kujizidisha, hii ni tabia ya asili ya maisha.
Hili ni jibu tosha kabisa la kinaiolojia.
Lakini, kwa mtu anayetafuta jibu linalotoa umuhimu wa maisha, jibu hili halitamfaa.
Jibu hili litamfamnya aulize tena, hilo najua, lakini tunazaliana ili iweje? Umuhimu wa kuzaliana ni upi? Hata virusi wa kompyuta wanaoharibu habari wanajua kuzaana na kujieneza, kuzaana na kujieneza kuna umuhimu gani?
Ndiyo maana nikaona umuhimu kwamba, kabla ya kuingia ndani sana, ni lazima tujue maana inayoongelewa hapani ipi?
Nikauliza, maana maana yake nini?
Kwanza kabisa hakuna yeyote anayekosea kwa kuuliza swali.Hapo umeonesha kwamba ulikosea Kuuliza swali,ulitakiwa uulize maana inayoongelewa hapa ni ipi na si Kuuliza kwamba maana maana yake nini? kwa sababu ungejibiwa kwa kuorodheshewa aina mbalimbali tofauti za maana kama ulivyofanya ungekuwa umejibiwa swali lako lakini kumbe sivyo ambacho ulitaka kujua.
Nimesema umekosea kuuliza swali na nikaeleza ni vp umekosea kuuliza swali.Kwanza kabisa hakuna yeyote anayekoseakwakuuliza swali.
Kwa sababu binadamu tumeumbwa tofautina hata kamaunarudiakuuliza swalihilohilokila siku la"unajisikiaje na hali leo?", na jibu ukawa ushazoea kwamba ni "Salama tu", siku moja unawezakupata jibu tofauti.
Na siku ya kupata jibu tofauti huijui.
Ndiyo maana hatuchoki kujuliana hali.
Anayekoseani yule ambaye anajizuia kuuliza swali kwa kufikiri anajua jibu.
Anayefikiri anajua jibu na kuuliza swaliili kuthibitisha kwamba jibu analofikiri ndilohilo wenzake wanafikiri ama la hawezi kukosea.
Kwa maana.
Ama atathibitisha kwamba jibu analolifikiri ndilohilo wenzake wanafikiri,au atakuja kupata majibu mengine tofauti yatakayomfundishamengine zaidi.
Kuuliza swalihakuwezikuwa kukosea.
Kutouliza swali ndiyo kunaweza kuwa kukosea.
Hakuna anayekosea kuuliza swali. Linaloweza kukosewa ni jibu la swali.Nimesema umekosea kuuliza swali na nikaeleza ni vp umekosea kuuliza swali.
Kama hakuna kukosea kuuliza swali basi pia hakuna jibu la swali lenye kukosewa.Hakuna anayekosea kuuliza swali. Linaloweza kukosewa ni jibu la swali.
Nimeeleza kwa nini hapo juu.
Hujakosoa jibu langu.
Waswahili walisema "Kuuliza si ujinga". Methali pana sana hii.
Kama hakuna kukosea kuuliza swali basi pia hakuna jibu la swali lenye kukosewa.
Nimetoa sababu za kwanini Nimesema umekosea kuuliza swali,hujakosoa sababu zangu.
Endelea kuwa na mashaka ila ukipata uhakika kuwa sikuwa na uwezo wa kuona na kuelewa uliponikosoa basi utanitajia ni wapi niliposhindwa kuona na kuelewa,ila kwa sasa inabaki tu kuwa hujakosoa sababu zangu.This is a logical non sequitur.
Na hata kama hakuna jibu na swali lenye makosa, ukosoaji wako wa swali langu la maana ya maana unakosa maana.
Nina mashaka kama una uwezo wa kuona na kuelewa nilipokosoa.
Ukisikia mtu anasema kwa uhakika kabisa kwamba ana hakika, jua umekutana na ama muongo ama mjinga kabisa.Endelea kuwa na mashaka ila ukipata uhakika kuwa sikuwa na uwezo wa kuona na kuelewa uliponikosoa basi utanitajia ni wapi niliposhindwa kuona na kuelewa,ila kwa sasa inabaki tu kuwa hujakosoa sababu zangu.
Na ndiyo maana nikasema endelea kuwa na mashaka kwa sababu hadi sasa umeshindwa kuonesha ni wapi niliposhindwa kuelewa ila umebaki kudai kuwa sikuelewi.Ukisikia mtu anasema kwa uhakika kabisa kwamba ana hakika, jua umekutana na ama muongo ama mjinga kabisa.
Heisenberg's Uncertainty Principle ilishatuonyesha kwamba kwa undani kabisa, maisha haya hayana uhakika.
Siko kote huko.Si mjinga wala muongo.
Mashaka ni nyumba ya werevu.
Unavyozidi kujua, ndivyo unavyozidi kujua hujui.
Bado hujaonyesha kwamba una uwezo wa kunielewa.
tehe tehe teheMaisha ni nyumba by mchechu NHC.