Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,081
- 2,606
upo sahihi ila takwimu zao zinatia wasiwasi.Ligi bado mbichi
mkuu ukiona uzi upo nje ya uwezo wako ni kheri ukaupotezea kuliko kureply ujinga.Najua amekuwa akikuchania mikeka mkuu,usimpe tena safari hii hadi atakapotengemaa!
hapana mkuu sijabadili.Hiyo username yako unachekesha na sijawahi iona wakati ina miaka minne. Au uliibadili
Sawa mkuu ila najua umepigwa sana hadi kuja kujifariji na Uzi!mkuu ukiona uzi upo nje ya uwezo wako ni kheri ukaupotezea kuliko kureply ujinga.
sawa.Sawa mkuu ila najua umepigwa sana hadi kuja kujifariji na Uzi!
AISE WATU WANAJIPIGIA AJAX WATAKAVYO,CJUI KUNANI!!Salaam wadau wa kandanda.
Ajax amsterdam ni moja kati vilabu maarufu na vyenye mafanikio makubwa ulimwenguni.
Ni klabu ambayo imefanikiwa kuwatoa magwiji wengi wa soka kama johan cruyf, van basten na rijkaard kwa uchache ikiwa na academy bora sana ulaya na ulimwenguni.
Misimu mitatu au tano nyuma ilifanya vizuri sana kwenye ligi ya ndani na ile michuano ya UEFA nadhani sote tunaikumbuka ile AJAX ya akina De jong na David Neres chini ya ERIK TEN HAG walivyosumbua Ulaya.
ila msimu huu hali sio mzuri kwao wakiwa nafasi ya 17 kati ya timu 18 wakiwa wamecheza michezo 7 wameshinda 1 sare 2 na kupoteza 4.
Kinachoshangaza mbona imekuwa gafla hivi wakati msimu uliopita yani 2022/2023 walimaliza nafasi ya 3 na msimu wa nyuma yake yani 2021/2022 walikuwa mabingwa.
SHIDA NI NINI PALE AJAX.
mkuu kama unafahamu huo mgogoro unahusu nini tueleze kidogo ili nasi tupate kufahamu.Kuna mgogoro kwenye board na wameondoka wachezaji wengi kifupi timu ipo kwenye crisis
Nipo mzigoni baadae kidogo nikipata freetime taelezamkuu kama unafahamu huo mgogoro unahusu nini tueleze kidogo ili nasi tupate kufahamu.