Szczepan Guevara Jr Member Joined May 28, 2013 Posts 91 Reaction score 17 Apr 8, 2015 #1 Ni nini itakuwa tiba sahihi ya kansa hiimiongoni mwa viongozi wengi wa Kiafrika wanaolazimisha kwamba upinzani ni uhaini??????
Ni nini itakuwa tiba sahihi ya kansa hiimiongoni mwa viongozi wengi wa Kiafrika wanaolazimisha kwamba upinzani ni uhaini??????
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,404 Apr 8, 2015 #2 ukishajua chama tawala ni kirusi hatari... ujue wapinzani ni magonjwa nyemelezi.
Doyi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 1,810 Reaction score 2,283 Apr 9, 2015 #3 ni sawa sawa na kuamini kuwa kutaka kugombea nafasi ya uenyekiti ni usaliti
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,671 Reaction score 861,000 Apr 9, 2015 #4 Doyi said: ni sawa sawa na kuamini kuwa kutaka kugombea nafasi ya uenyekiti ni usaliti Click to expand... Replies za wakeshaji zina mambo...!
Doyi said: ni sawa sawa na kuamini kuwa kutaka kugombea nafasi ya uenyekiti ni usaliti Click to expand... Replies za wakeshaji zina mambo...!