Mpwidu Senior Member Joined Apr 3, 2018 Posts 111 Reaction score 117 Mar 26, 2022 #1 Naomba kufahamishwa anaejua hawa watu wanakuja inbox whatsap na kukuomba usave namba zao kwa kutazama status na mengneyo, leo nimetumiwa ujumbe na watu wawili tofauti ni wapi wamepata namba zangu na ni nini plan zao??
Naomba kufahamishwa anaejua hawa watu wanakuja inbox whatsap na kukuomba usave namba zao kwa kutazama status na mengneyo, leo nimetumiwa ujumbe na watu wawili tofauti ni wapi wamepata namba zangu na ni nini plan zao??
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,111 Reaction score 102,682 Mar 26, 2022 #2 Kwanini uteseke? Huoni hiyo option ya BLOCK?
samaki wa mbao Member Joined Apr 15, 2021 Posts 81 Reaction score 124 Mar 26, 2022 #3 Hao wahuni wazee wa biashara za kitapeli za forever living, Global alliance n.k Watakusumbua Sana, ikibidi futa tu namba zao
Hao wahuni wazee wa biashara za kitapeli za forever living, Global alliance n.k Watakusumbua Sana, ikibidi futa tu namba zao
Mpwidu Senior Member Joined Apr 3, 2018 Posts 111 Reaction score 117 Mar 26, 2022 Thread starter #4 samaki wa mbao said: Hao wahuni wazee wa biashara za kitapeli za forever living, Global alliance n.k Watakusumbua Sana, ikibidi futa tu namba zao Click to expand... Asante sana, je namba ya muhusika kama mimi hapo wameipata wapi?
samaki wa mbao said: Hao wahuni wazee wa biashara za kitapeli za forever living, Global alliance n.k Watakusumbua Sana, ikibidi futa tu namba zao Click to expand... Asante sana, je namba ya muhusika kama mimi hapo wameipata wapi?
Igande Member Joined Jun 10, 2021 Posts 41 Reaction score 60 Mar 26, 2022 #5 Mpwidu said: Asante sana, je namba ya muhusika kama mimi hapo wameipata wapi? Click to expand... Angalia groups in common. Wengi wanatoa kwa groups
Mpwidu said: Asante sana, je namba ya muhusika kama mimi hapo wameipata wapi? Click to expand... Angalia groups in common. Wengi wanatoa kwa groups
samaki wa mbao Member Joined Apr 15, 2021 Posts 81 Reaction score 124 Mar 26, 2022 #6 Mpwidu said: Asante sana, je namba ya muhusika kama mimi hapo wameipata wapi? Click to expand... Huwa wanatoa kwenye makundi mbalimbali uliyojiunga, Mpira, Dini, ajira n.k huko ndo wanakopata namba za watu
Mpwidu said: Asante sana, je namba ya muhusika kama mimi hapo wameipata wapi? Click to expand... Huwa wanatoa kwenye makundi mbalimbali uliyojiunga, Mpira, Dini, ajira n.k huko ndo wanakopata namba za watu