Pia samtym uchafu wa mmoja, maranyingi huwa kwa wanawake wakishaolewa yale mapouda, utuli na pamba flan sasa zinatupwa,anaanza kushindia tenge na ndala, so mdau anaenda kuchek mambo mazuri uko nje, pia uzazi; mtoto wa kwanza kupewa nafasi ya juu kuliko baba, rejea mautamu ya nyumba ndogo.
vilevile, sababu nyingne yawezekana ikawa ni uongo wakati wa kampeni, jieleze mambo mengi ila sasa umechukua nchi utekelezaji sifuri.demu kumbe alipenda yale maahadi sasa anaendelea kuyatafuta huko nje,na kumbuka atafutae hachoki akichoka......
pia mwanaume chapombe sana,masigara na maugolo yenu haya na kushinda na laptop mara FB mara JF afu ndo mtu apite akuone humu jukwaan mara nataka urafiki, nani sjui anafuta mchumba, mara Natalia kasema mchumba pesa sijui, basi wanawake wengi, waaache wale magubegube na mashankupe, huwa hasira zao huzitolea nje kwa mashost, basi apo ataambiwa atafute pia kidumu ili nawe awe anatuliza moyo, hali kadhalika, umalaaya wa mmoja, huweza kumchochea mwingne, matumizi mabaya ya simu,.
ila tu hapa ijulikane kuwa mila zetu mwanamke akimilki wanaume wawili huwa ni malaya, lakini mwanaume akimiliki zaidi ya wawili au watau huuitwa SHABABI. kumbuka baba huwa ana wake wawili/watati ila kamwe mama huwa hana waume wawili.
asanteni.