Naipata jf BILA vpnKutokana na hali ya maandamano ya Leo na machafuko yanayoendelea nchini ni dhahiri serikali na jopo lao lote ambao waliamua kutumia nguvu ,utekaji,ukiukwaji wa haki za binadamu,kufunga upatikanaji wa taarifa wanapaswa kuchukuliwa hatua Kali za kitaifa na kimataifa. Kesi ifunguliwe mahakama ya kimataifa( The hague) dhidhi ya Samia Suluhu Hasan.
Aluta continua!
Au mkataswitch kishawekwa kati? 🤣🤣Naipata jf BILA vpn
Na ccm na serikali Yao ndio waliokuwa wanasema upinzani ndio wataleta vurugu nchini. Ona Sasa!Kutokana na hali ya maandamano ya Leo na machafuko yanayoendelea nchini ni dhahiri serikali na jopo lao lote ambao waliamua kutumia nguvu ,utekaji,ukiukwaji wa haki za binadamu,kufunga upatikanaji wa taarifa wanapaswa kuchukuliwa hatua Kali za kitaifa na kimataifa. Kesi ifunguliwe mahakama ya kimataifa( The hague) dhidhi ya Samia Suluhu Hasan.
Aluta continua!
Na aondoke kabisa nchi hii, huyo mazafaka. Ni mstaafu anayelitia hasara taifa letu bila sababu. He’s a liability to the country!Nasikia amekimbia Yule Mzee WA kuchekacheka