msafi chichiam? hayupo wala hata kaa awepo, wote ni wachafu, wao wenyewe wanajiita magamba, na mipango yao ni kujivua gamba ina maana wanajiamini ni wachafu na wananuka wote, sina wa kumpa kura ya usafi,
Hapa hauwezi kupiga kura! Mtoa maada ulitakiwa u-sort watu kadhaa kisha utupe go ahead. Hapa wanajf wanatoa comments badala ya kupiga kura! Is this what you want??
hakuna mwanamama mnafiki kama huyo. Tulitarajia kuwa kwa kuwa ni mtu wa mungu basi angeanika maovu ya ccm kwa kuwahurumia watanzania maskini lakini yupo kimya, ni yeye na posho tu.
CCM ina nuka JK NYERERE, mwenye ccm kajisemea, huhitaji kuvaa miwani ili kuona uchafu wa viongozi wa ccm, nenda tawi lolote la ccm wanakotokea viongozi unao wajua kawambie unatangaza nia ya kugombea utashangaa mimacho inayotizami mfuko wako huna fedha hakuna uongozi ccm ni (NIPE NIKUPE)