Ni mwendo wa 2-3-5

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,068
Naona ni mwendo wa kushambulia tu hakuna kupaki basi, maana soon unaweza kuvuna mabua hahahahahaha
 
Hutu MTU namchukia sana yani.
Ukiulizwa chuki yako ipo wapi?..au mradi umemchukia tu!?.
Mbowe kauza chama chetu, wengine tukahama lakini hatumchukii!..
 
Ukiulizwa chuki yako ipo wapi?..au mradi umemchukia tu!?.
Mbowe kauza chama chetu, wengine tukahama lakini hatumchukii!..
Kwa hiyo kinyume cha Magu ni Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…