ni mtamu lakini bado sjamfaidi

Status
Not open for further replies.

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
nafuta kaulia Majibu Yenu Nimefuta Kauli Du Watu Kali Umu nicheze game lakini kwa uzuri alonao sikupenda kucheza game ya kizembe kwan ningeweza mkosa ilinibidi nimtel tutoke out ili nikafaidi jasho langu la kutongoza Lakini huyu bibie hakutaka kabisa kulala nje ya chuo akidai ni mke wa mtu na kuna rafiki ake hapa chuo akijua itakua noma hivyo aliniomba nimfaidi umo umo chuo (hostel) ili nismharibie sikupenda coz hostel nakaa na wachiz nisingeweza kutumia muda mwingi kumfaidi uyu mrembo but ilinibidi nionje coz ningeendeea kuvuta ngeweza kukosa kabisa. sasa nishaonja kidogo nimtamu kinoma ila bado sijakamua vizuri na yeye hataki kulala nje ya chuo nif
 
mke wa mtu ni sumu mdogo wangu utakuja liwa kiboga bure !!! SHAURI YAKO
 
we umeshamgonga unataka ushauri gani sasa hapa?......
 

Kwa hiyo unataka sisi tukushauri wewe mwanafunzi namna ya kuendelea kutembea na mke wa mtu ambaye pia ni mwanafunzi?! Yaani tukushauri namna ya kufanya uzinzi?
 
Kamsemelezee kwa dean wa faculty yenu. Nipe jina la dean nikuoe namba, ☞kwa nininakunyanyase?
 
^^
Mapenzi ya chuo? Na wanachuo wenyewe ndio nyinyi?
Kama huwezi kusitiri siri ndogo kama hiyo utapata wapi kifua cha kusitiri aibu za wengine?
^^
 
Kwa hiyo unataka sisi tukushauri wewe mwanafunzi namna ya kuendelea kutembea na mke wa mtu ambaye pia ni mwanafunzi?! Yaani tukushauri namna ya kufanya uzinzi?

Anataka nasi tushiriki kwenye dhambi yake ya uzinzi....
 
Ukisikia mtu anajichimbia kaburi ndo hvyo....sasa endelea kujichimbia kaburi......
 
Ungejua jinsi Kitaa JUA LILIVOKALI NA NJAA ILIVOBAMBA, Mmmmmmh! Huo muda chuoni unaofanya uzinzi ungeutumia kufanya IBADA KALI SANAA Mwenyezi Mungu akufanyie WEPESI Kidogooo mzigo wako!

Mungu ni mwenye HURUMA bado hujachelewa!
 
Yani wewe ni mwanachuo halafu unaomba ushauri kwa kitu kama hiki?? Walah usipopga chabo supp lazima zikuandame.
 
Ungejua jinsi Kitaa JUA LILIVOKALI NA NJAA ILIVOBAMBA, Mmmmmmh! Huo muda chuoni unaofanya uzinzi ungeutumia kufanya IBADA KALI SANAA Mwenyezi Mungu akufanyie WEPESI Kidogooo mzigo wako!

Mungu ni mwenye HURUMA bado hujachelewa!
nimependa ushauri wako coz una busara ndani yake
 
Na siku atakayokamuliwa vizuri? Ntakuomba umsaidie kumuanika ili akauke
Siku utakayomkamua vizuri, naomba niletee lita kama moja hivi nitengeneze chai ya maziwa hapa gengeni kwangu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…