Ni mazoea tu. Kama ilivyo kwa Bukoba iliyoko Kagera au Moshi iliyoko Kilimanjaro. Makao makuu ya Mkoa kuwa maarufu kuliko jina la mkoa.Hili jambo limekuwa likinitatiza kwa muda mrefu.
Matumizi ya jina Musoma badala ya Mara, kwa namna ninavyofahamu hakuna mkoa unaoitwa mkoa wa Musoma badala yake Musoma ni wilaya tu kama zilivyo wilaya nyingine ndani ya mkoa wa Mara.
Ndani ya mkoa wa Mara kuna wilaya kama saba hivi
Bunda
Serengeti
Tarime
Rorya
Butiama
Musoma mjini na
Musoma vijijini
Nini kimepelelea watu kulitumia jina la Musoma kutambulisha Mkoa badala la jina la Mara?
Pia kuna baadhi ya vitabu mashuleni kwenye Ramani ya Tanzania sehemu ya mkoa wa Mara pameandikwa Musoma na hali hii ni tofauti na utambulisho wa mikoa mingine.
Je, ni nini kimepelekea jina la Musoma kutumika badala la jina la Mara?
Wana jamvi mwenye uelewa juu ya jambo hili anieleweshe.
Bukoba au kagera
Songea au Ruvuma
Kibaha au pwan
Kilimanjaro badala ya moshiHili jambo limekuwa likinitatiza kwa muda mrefu.
Matumizi ya jina Musoma badala ya Mara, kwa namna ninavyofahamu hakuna mkoa unaoitwa mkoa wa Musoma badala yake Musoma ni wilaya tu kama zilivyo wilaya nyingine ndani ya mkoa wa Mara.
Ndani ya mkoa wa Mara kuna wilaya kama saba hivi
Bunda
Serengeti
Tarime
Rorya
Butiama
Musoma mjini na
Musoma vijijini
Nini kimepelelea watu kulitumia jina la Musoma kutambulisha Mkoa badala la jina la Mara?
Pia kuna baadhi ya vitabu mashuleni kwenye Ramani ya Tanzania sehemu ya mkoa wa Mara pameandikwa Musoma na hali hii ni tofauti na utambulisho wa mikoa mingine.
Je, ni nini kimepelekea jina la Musoma kutumika badala la jina la Mara?
Wana jamvi mwenye uelewa juu ya jambo hili anieleweshe.
ID yako inasadifu what you are asking for [emoji40][emoji2960][emoji850].Hili jambo limekuwa likinitatiza kwa muda mrefu.
Matumizi ya jina Musoma badala ya Mara, kwa namna ninavyofahamu hakuna mkoa unaoitwa mkoa wa Musoma badala yake Musoma ni wilaya tu kama zilivyo wilaya nyingine ndani ya mkoa wa Mara.
Ndani ya mkoa wa Mara kuna wilaya kama saba hivi
Bunda
Serengeti
Tarime
Rorya
Butiama
Musoma mjini na
Musoma vijijini
Nini kimepelelea watu kulitumia jina la Musoma kutambulisha Mkoa badala la jina la Mara?
Pia kuna baadhi ya vitabu mashuleni kwenye Ramani ya Tanzania sehemu ya mkoa wa Mara pameandikwa Musoma na hali hii ni tofauti na utambulisho wa mikoa mingine.
Je, ni nini kimepelekea jina la Musoma kutumika badala la jina la Mara?
Wana jamvi mwenye uelewa juu ya jambo hili anieleweshe.
Zamani zilikuwepo NNEWilaya ziko sita ambazo ni
Musoma
Bunda
Serengeti
Rorya
Butiama
Tarime.
Ukisema musoma vijijini na musoma mjini ni halmashauri sio wilaya.
Sumbawanga au Rukwa Moshi au Kilimanjaro Babati au Manyara Bariadi au Simiyu Mpanda au KataviBukoba au kagera
Songea au Ruvuma
Kibaha au pwan
Majina ya mikoa kama yaliyotambulika baada ya Uhuru, na yameendelea kutumika kwa makosa.Bukoba au kagera
Songea au Ruvuma
Kibaha au pwan
Hakuna wilaya inayoitwa MWANZA.ID yako inasadifu what you are asking for [emoji40][emoji2960][emoji850].
Tunayo mikoa ambayo miji mikuu ya mkoa husika hayabebi majina ya mikoa yenyewe. Bali majina ya mikoa hubeba mito, milima, mbuga za wanyama nk.
eg.
1. Mara_ Musoma
2. Kilimanjaro_ Moshi
3. Ruvuma_ Songea
4. Katavi _ Mpanda
5. Kagera _ Bukoba
6. Simiyu _ Bariadi
7. Rukwa- Sumbawanga.
8. Pwani- Kibaha etc.
Lakini mikoa mingine miji ya makao makuu ya mkoa hubeba moja kwa moja jina la mkoa husika eg
1. Dar
2. Dodoma
3. Shinyanga
4. Mwz
5. Singida
6. Tabora
7. Mtwara
8. Lindi etc .
Sasa hili la Mara na Musoma ni mkanganyiko tu kwa watu wasio makini.
Umesoma nilichokiandika vizuri ?! Au una matatizo na nini huko Mwz ?Hakuna wilaya inayoitwa MWANZA.
Kilimanjaro badala ya moshi