M mama wa wili Member Joined Jun 10, 2014 Posts 40 Reaction score 6 Jun 10, 2014 #1 Naomba wadau mnisaidie kwa anae fahamu maswali katika written interview utumishi, nafasi ya internal audit yanakuaje?
Naomba wadau mnisaidie kwa anae fahamu maswali katika written interview utumishi, nafasi ya internal audit yanakuaje?
kijana mgumu Member Joined Jan 26, 2013 Posts 48 Reaction score 15 Jun 10, 2014 #2 Ngoja wadau waje wakupe possible ila me nilishawahi kufanya interview ya NAO hapo hapo Kigamboni walitoa maswali ya auditing 2pu.
Ngoja wadau waje wakupe possible ila me nilishawahi kufanya interview ya NAO hapo hapo Kigamboni walitoa maswali ya auditing 2pu.
M mama wa wili Member Joined Jun 10, 2014 Posts 40 Reaction score 6 Jun 11, 2014 Thread starter #3 Asante.ngoja tu nikomae na notes.
TZ kwanza JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 250 Reaction score 87 Jun 11, 2014 #4 Zijue duties and responsibilities za internal auditer pia soma kwenye fani but mara nyingi wanauliza basic qns
Zijue duties and responsibilities za internal auditer pia soma kwenye fani but mara nyingi wanauliza basic qns
sajosojo JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 1,028 Reaction score 650 Jun 11, 2014 #5 hasa matangazo ya kiswahili interview zake ni lugha gani?
S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Jun 11, 2014 #6 mara nyng hawa hata kama tangazo ni la kiswahl haijalish interview kuanzia writen had oral ni kingereza.mfano fire kule tangazo llkuwa kisw lakn usail ulikuwa ngeli tu cjui kwa madogo walofuata.
mara nyng hawa hata kama tangazo ni la kiswahl haijalish interview kuanzia writen had oral ni kingereza.mfano fire kule tangazo llkuwa kisw lakn usail ulikuwa ngeli tu cjui kwa madogo walofuata.