Ni mapenzi kweli?

ABDUL JIRANI

Senior Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
176
Reaction score
52
Leo mpenzi wangu amenitembelea home maada ya muda mrefu tulichokaa bila ya kuonana. Nikamuomba tutoke kidogo tukatembee, akaniambia nimwache apunzike.

Kumbe baada ya kumuacha pale home kapekua kwenye diary na kusoma baadh ya kumbukumbu zangu kipindi niko kwenye mizunguko yangu akanipigia simu numweleze maadhu ya maneno maana yamemuuma.

Kwahiyo nauliza mwanamke wa aina hyo anamapenzi kweli au amezoea migogoro?
 
Mtu anayefungua diary za wenzie au kunyemelea simu sio mstaarabu hata kidogo
 
Alikuja kwa nia hiyo hiyo ya kukupekua ndiyo maana alikataa kwenda matembezi na wewe.
 
ni kawaida sana kwa mabibti wadogo wadogo.
 
ni kawaida sana kwa mabinti wadogo wadogo.
 
at my place ukague kague????
ibhate that behavior na sitakupa maelezo yoyote kwa chochote utakachokikuta
sipendi kukagua mambo ya mtu
huyo ni mtoto
HAJUI LIMIT YAKE
 
Unataka kujua kama ana mapenzi kwa kupekua au alichokuuliza kwenye simu?

Usisahau

*****************

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…