Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Aug 23, 2014 #21 imekuuuuma??? unashangaza hayo ni mapenzi yao ww hayakuhusu
jijini leo Member Joined Jul 20, 2014 Posts 62 Reaction score 9 Aug 23, 2014 Thread starter #22 tabibumtaratibu said: umeongea point Click to expand... Zipo.kazi za kusaidiana lakn c hizo.kudeki kila cku na kufua nguo ndo uende kazi kwa miezi hapana mie
tabibumtaratibu said: umeongea point Click to expand... Zipo.kazi za kusaidiana lakn c hizo.kudeki kila cku na kufua nguo ndo uende kazi kwa miezi hapana mie
jijini leo Member Joined Jul 20, 2014 Posts 62 Reaction score 9 Aug 23, 2014 Thread starter #23 miss neddy said: imekuuuuma??? unashangaza hayo ni mapenzi yao ww hayakuhusu Click to expand... Ingekuwa n nyumba ya pekee sawa lkn c nyumba za kupanga looh siwezi mie
miss neddy said: imekuuuuma??? unashangaza hayo ni mapenzi yao ww hayakuhusu Click to expand... Ingekuwa n nyumba ya pekee sawa lkn c nyumba za kupanga looh siwezi mie
jijini leo Member Joined Jul 20, 2014 Posts 62 Reaction score 9 Aug 23, 2014 Thread starter #24 Aliens said: Mapenzi ni kusaidiana na kuoneana huruma, 2naweza 2kamwaga povu huku jamvini wakati ha2jui wakiwa kitandani wanaongea nini. Click to expand... Ww uko tayar kufanya hayo???? Kwny nyumba ya kupanga????
Aliens said: Mapenzi ni kusaidiana na kuoneana huruma, 2naweza 2kamwaga povu huku jamvini wakati ha2jui wakiwa kitandani wanaongea nini. Click to expand... Ww uko tayar kufanya hayo???? Kwny nyumba ya kupanga????
jijini leo Member Joined Jul 20, 2014 Posts 62 Reaction score 9 Aug 23, 2014 Thread starter #25 Kanigini said: Namjua mshkaji, mke wake ana mimba changa. Na mimba changa zinasumbua sana. Click to expand... Hahaa kumbe we jiran angu tuonane bas
Kanigini said: Namjua mshkaji, mke wake ana mimba changa. Na mimba changa zinasumbua sana. Click to expand... Hahaa kumbe we jiran angu tuonane bas
definition JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 972 Reaction score 1,584 Aug 23, 2014 #26 miss neddy said: imekuuuuma unashangaza hayo ni mapenzi yao ww hayakuhusu Click to expand... mwambie mana wa Tz kila k2 imani za kishrikina mble.. mm jirani yangu namkutaga ana mfulia mkewe chupi na brazia lakini sitii neno kwamaana najua ndo" TRUE LOVE"
miss neddy said: imekuuuuma unashangaza hayo ni mapenzi yao ww hayakuhusu Click to expand... mwambie mana wa Tz kila k2 imani za kishrikina mble.. mm jirani yangu namkutaga ana mfulia mkewe chupi na brazia lakini sitii neno kwamaana najua ndo" TRUE LOVE"
tabibumtaratibu JF-Expert Member Joined May 29, 2011 Posts 2,414 Reaction score 1,216 Aug 23, 2014 #27 jijini leo said: Zipo.kazi za kusaidiana lakn c hizo.kudeki kila cku na kufua nguo ndo uende kazi kwa miezi hapana mie Click to expand... kama we huwezi wenzio wanapiga kazi tu
jijini leo said: Zipo.kazi za kusaidiana lakn c hizo.kudeki kila cku na kufua nguo ndo uende kazi kwa miezi hapana mie Click to expand... kama we huwezi wenzio wanapiga kazi tu
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Aug 23, 2014 #28 huu jamani hajamroga ila ni mapenzi kwa sana akimuona atamkumbatia naimba tu
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 Aug 23, 2014 #29 Dawa Ya vitu km hivi ni kuwa busy na kuweka mfanyakazi wa ndani.
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Aug 23, 2014 #30 Asprin said: Umejuaje?? Click to expand... Kwasababu nilishaipitia hiyo hali....
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Aug 23, 2014 #31 jijini leo said: Hahaa mke mzma kabisa na mwanaume ndo jembe la kazi Click to expand... Basi ni maamuzi yao...
jijini leo said: Hahaa mke mzma kabisa na mwanaume ndo jembe la kazi Click to expand... Basi ni maamuzi yao...