Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 84
- 1,494
Kamanda wao kwa sasa ni mzanzibari ABDULKennedy Mwamlima anasema alivyotekwa Mbeya mwezi April 2024, watekaji walimfunga pingu na kumvalisha mzula usoni ili asione lakini mzula huo ulikuwa unaangaza.
Anadai gari hilo lilikuwa linaendeshwa kwa kasi mno kuliko ambulance huku dereva akipuuza kuzingatia alama za usalama barabarani. Anasema gari lilisimamishwa na askari wa Usalama barabarani kwa kosa la kuzidisha mwendo Chimala, mmoja wa askari akamsogelea dereva na kumfokea kwamba kwanini anazidisha mwendo ambao ni hatarishi? mmoja wa watekaji akashusha kioo kidogo na kumuonyesha askari huyo kitambulisho. Baada tu ya kuonyeshwa kiitambulisho askari huyo alikuwa mpole na kuruhusu gari haraka.
Gari ilivyofika Igawa likakamatwa tena kwa wrong overtaking, tena askari mkamataji wa safari hii alikuwa na cheo cha Inspector. Askari huyo alikuwa mkali kwa dereva kwamba kwanini anaovateki eneo ambao haliruhusiwi kuovateki? Lakini alipooneshwa kitambulisho tu akakausha na wala hakutaka majibu ya swali lake zaidi ya kuruhusu gari liondoke haraka.
Je ni kweli watekaji hawajulikani kama wanavyosema polisi, waziri wa mambo ya ndani na Rais Samia? Kwani nikisema Samia ndio mtekaji na kikosi hiki cha kuteka kina baraka zake nitakuwa sahihi?
hautakuwa sahihi kama unaushahidi nenda katoe taarifa polisi siyo kuropokaropoka tu hovyo hujitambui wewe kijana wa hovyo sana hufai katika jamii ya wastaarabuKennedy Mwamlima anasema alivyotekwa Mbeya mwezi April 2024, watekaji walimfunga pingu na kumvalisha mzula usoni ili asione lakini mzula huo ulikuwa unaangaza.
Anadai gari hilo lilikuwa linaendeshwa kwa kasi mno kuliko ambulance huku dereva akipuuza kuzingatia alama za usalama barabarani. Anasema gari lilisimamishwa na askari wa Usalama barabarani kwa kosa la kuzidisha mwendo Chimala, mmoja wa askari akamsogelea dereva na kumfokea kwamba kwanini anazidisha mwendo ambao ni hatarishi? mmoja wa watekaji akashusha kioo kidogo na kumuonyesha askari huyo kitambulisho. Baada tu ya kuonyeshwa kiitambulisho askari huyo alikuwa mpole na kuruhusu gari haraka.
Gari ilivyofika Igawa likakamatwa tena kwa wrong overtaking, tena askari mkamataji wa safari hii alikuwa na cheo cha Inspector. Askari huyo alikuwa mkali kwa dereva kwamba kwanini anaovateki eneo ambao haliruhusiwi kuovateki? Lakini alipooneshwa kitambulisho tu akakausha na wala hakutaka majibu ya swali lake zaidi ya kuruhusu gari liondoke haraka.
Je ni kweli watekaji hawajulikani kama wanavyosema polisi, waziri wa mambo ya ndani na Rais Samia? Kwani nikisema Samia ndio mtekaji na kikosi hiki cha kuteka kina baraka zake nitakuwa sahihi?
mbowe yupo wapi mbona kawa kmya sana? au yupo busy anapanga balaza la mawaziri?Kila Ubaya utalipwa
Kamanda wao kwa sasa ni mzanzibari ABDUL
Mbowe yupo na makahaba huko South africa anakula bata kwa pesa zake za kampuni yake ya chademambowe yupo wapi mbona kawa kmya sana? au yupo busy anapanga balaza la mawaziri?
Yeye ndiyo anawatumaWatekaji wanajulikana lakini rais kaamua kuwakumbatia ili wasijulikane Kwa sababu ndiyo anawatuma.Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.Ipo siku atapatikana mzalendo na Kuja kuyaweka hadharani na wahusika kuchukuliwa hatua hata kama wakiwa wamezeeka
Ameingiaj kirahisi Hadi kupewa nafasi kubwa kiasi hicho?Kamanda wao kwa sasa ni mzanzibari ABDUL
Watekaji wote wanajulikana. Kwa sababu wana IDs. Kwanini hawakamatwi hili ndo swali la msingi!Kennedy Mwamlima anasema alivyotekwa Mbeya mwezi April 2024, watekaji walimfunga pingu na kumvalisha mzula usoni ili asione lakini mzula huo ulikuwa unaangaza.
Anadai gari hilo lilikuwa linaendeshwa kwa kasi mno kuliko ambulance huku dereva akipuuza kuzingatia alama za usalama barabarani. Anasema gari lilisimamishwa na askari wa Usalama barabarani kwa kosa la kuzidisha mwendo Chimala, mmoja wa askari akamsogelea dereva na kumfokea kwamba kwanini anazidisha mwendo ambao ni hatarishi? mmoja wa watekaji akashusha kioo kidogo na kumuonyesha askari huyo kitambulisho. Baada tu ya kuonyeshwa kiitambulisho askari huyo alikuwa mpole na kuruhusu gari haraka.
Gari ilivyofika Igawa likakamatwa tena kwa wrong overtaking, tena askari mkamataji wa safari hii alikuwa na cheo cha Inspector. Askari huyo alikuwa mkali kwa dereva kwamba kwanini anaovateki eneo ambao haliruhusiwi kuovateki? Lakini alipooneshwa kitambulisho tu akakausha na wala hakutaka majibu ya swali lake zaidi ya kuruhusu gari liondoke haraka.
Je ni kweli watekaji hawajulikani kama wanavyosema polisi, waziri wa mambo ya ndani na Rais Samia? Kwani nikisema Samia ndio mtekaji na kikosi hiki cha kuteka kina baraka zake nitakuwa sahihi?
Yupo juu ya sheria zote na juu ya haki ..aguswi na yoyoteAmeingiaj kirahisi Hadi kupewa nafasi kubwa kiasi hicho?
Iko hivyoWanaotakiwa kukamata watekaji ndiyo watekaji wenyewe
Yule jamaa aliyekata majina ya wagombee ndiyo simuelewi kabisa.Watekaji wanajulikana Abful na Mchengerwa ile crown media ivhomwe moto ni.mali ya mafisadi na watekaji......