Watu wengine wampigwa ngumi ya uso, hawana jipya.Hata hiyo 20 b ni nyingi sana thanani ya timu inapatikana kwa timu kuchukuwa makombe bila kuchukuwa makombe timu haina thani.
Angalia leo hii timu zipi zinathamani ktk bora huko ulaya kwa na zipi hazipa thamani.
Miakaya 70 mpaka thamani timu kama man u ilikuwa haina thamani kwakuwa ilikuwa haichukuwi makombe leo man u ndio timu yenye thamani kubwa.
Acheni mo atengeneze timu ya ushindi na ya kisasa muhim ni mikataba imara na mizuri tu kwa maslahi ya klabu.
Hii sio dunia tena ya mpira wa kutegemea wachawi na kuhonga.
Huu ni uchawi dhidi ya maendeleo ya soka la bongo,,mmekaa nayo club zaid miaka 80 mmeshindwa kutuonesha ni namna gani tunaweza kuzalisha billion 1 kwa mcm ,anakuja MTU mfanyabiashara nguli anaweka mzigo wa kutosha still anapigwa majungu,wabongo tunataka nini??
Kweli wewe Bangi,yaani bado unawaamini hao matapeli??Sis simba tunaimani na hans pop tu.... na tunamalengo ya kuacha kucheza mpira ili tujikite katika vikundi vya ushangiliaji
mh!Mwanafalsalfa, Albert Einstein alishawahi kunena.. "If you can't explain to a six-year-old, you don't understand it yourself".
Sasa kama Mo anashindwa kutuelewesha lengo lake ni nini hasa.. Ina maana hata mwenyewe hajui anachotaka kukifanya.
Kasema na Marekani pia!Simba ina mashabiki Ulaya?