Ni kweli kuna wanawake wenye mikosi na bahati?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Salamu sana.
Poleni na majukumu

Hivi nikweli hii kauli kwamba kuna baadhi ya wanawake wengine ukikutana naye kimwili unakuwa na mikosi, na wengine ukikutana naye unakuwa na bahati?

Mimi binafsi bado sijaling'amua suala hili. Hebu nipeni uzoefu wahenga.
 
Ngoja wajuvi waje...lakini mimi naona ni kuwa na wanawake wengi/wanaume wengi kwa wakati mmoja na wote ukawa unaunganisha nao makojoleo yao basii tayari ishakuwa nuksi,mikosi na bahati mbaya..kwasababu watu wengine kwa macho ya nyama ni watu,lakini kwa macho ya rohoni ni mashetani lazima nuksi ikutembelee tuu,

Kuna watu hujitia wenyewe nuksi halafu wananyooshea watu wengine vidole..
 
Haswaa.. sasa hapo ni mtu kuwa na macho ya rohoni la si hivyo utapotea
Ngoja wajuvi waje...lakini mimi naona ni kuwa na wanawake wengi/wanaume wengi kwa wakati mmoja na wote ukawa unaunganisha nao makojoleo yao basii tayari ishakuwa nuksi,mikosi na bahati mbaya..kwasababu watu wengine kwa macho ya nyama ni watu,lakini kwa macho ya rohoni ni mashetani lazima nuksi ikutembelee tuu,

Kuna watu hujitia wenyewe nuksi halafu wananyooshea watu wengine vidole..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
salamu sana.
Poleni na majukumu

Hivi nikweli hii kauli kwamba kuna baadhi ya wanawake wengine ukikutana naye kimwili unakuwa na mikosi, na wengine ukikutana naye unakuwa na bahati?

Mimi binafsi bado sijaling'amua suala hili. Hebu nipeni uzoefu wahenga.
Hii inshu bhaana naamini ni kweli kwa sababu nimeshuhudiwa na ke wawili tofauti.
1. Kuna positive effects
2. Kuna negative effects

Siwezi kubisha kabisa maana nilishuhudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ni wana ile kitu inaitwa dark entity. Ukiwa nao tu tayar mambo yanaenda upande .
Yote hata yalikuta baada ya ku ignore sauti ya Mungu wkt naingia kwenye mahusiano na ex.

Nilijifunza the hard way. Ilibidi nitubu. Sahiv mambo yangu yamerudi normal.
Na watu hatuyataki hayo macho...tunajisemea mioyoni potelea pote liwalo na liwe,mambo yakienda alijojo utawasikia yule fulani sio kabisaa...hahaha wakati wao ndio "sio kabisaaa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ni wana ile kitu inaitwa dark entity. Ukiwa nao tu tayar mambo yanaenda upande .
Yote hata yalikuta baada ya ku ignore sauti ya Mungu wkt naingia kwenye mahusiano na ex.

Nilijifunza the hard way. Ilibidi nitubu. Sahiv mambo yangu yamerudi normal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa,.na hapo ndipo tunapo fail sana watu,kwenye swala zima la kuomba toba na rehema kwa Mungu,.watu wanaanzisha mahusiano mapya bila kutubu..unajikuta kila siku mambo hayaendi sanasana unaongeza idadi na kujiona una mikosi..kumbe mikosi na baraka ziko mikononi mwako,ni wewe tuu kuchagua cha kukumbatia.
 
Pia kuna wanaume wana gundu hao mpaka basi ila ukikutana watu chemistry zinaendana mambo yananyooka. Ndo mana vtabu vitakatifu vimekataza uzinifu mana huvhafua mwili na ma negative energy aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wajuvi waje...lakini mimi naona ni kuwa na wanawake wengi/wanaume wengi kwa wakati mmoja na wote ukawa unaunganisha nao makojoleo yao basii tayari ishakuwa nuksi,mikosi na bahati mbaya..kwasababu watu wengine kwa macho ya nyama ni watu,lakini kwa macho ya rohoni ni mashetani lazima nuksi ikutembelee tuu,

Kuna watu hujitia wenyewe nuksi halafu wananyooshea watu wengine vidole..
Kunywa togwa hapo ulipo mama, naja lipia.
 
Salamu sana.
Poleni na majukumu

Hivi nikweli hii kauli kwamba kuna baadhi ya wanawake wengine ukikutana naye kimwili unakuwa na mikosi, na wengine ukikutana naye unakuwa na bahati?

Mimi binafsi bado sijaling'amua suala hili. Hebu nipeni uzoefu wahenga.
Kinachoonekana sana ni inshu ya nyota tu, na wanaume tulio wengi tuna tembelea nyota za wanawake katika mafanikio ya maisha ndo maana unaona mwanaime anaweza faight sana akapata pesa ila yakawada sana ila pale atakapoamua kuoa

na akapatia katika kuoa, basi unaona mambo yake yanaanza kuwa makubwa zaidi na. Pia hivyo vivyo kwa wanawake unakuta unakuwa hayuko stable kimaisha ila akikutana na mwanaume mwenye nyota yake basi anabadilika kabisaa na kuwa mtu mwingine kabisaaa tofauti na alivyokuwa awalii
 
Na huo ndiyo ukweli wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya baadhi ya Wanawake kuwa na MIKOSI/NUKSI huwa nayasikia/nimeyasikia.

Lakini tunapokuja kwenye Uhalisia naona kama POROJO tu.

Watu tumeshafanya starehe sana mpaka na MACHUNGUDOA na hakuna lolote.

Mie naona tunatishana tu
 
Jaribu kutest mtoa mada...mipia mwenye mkosi alafu safisha nyota kwa asiye na mkosi ; japo mimi kwangu naona mke ndo mzuri zaidi ya hao unaowaita sijui wasichana . Fanya ima uoe na kama umepata mke nwenye mkosi basi pole sana Ila ndo ile shida na rahaa
 
Back
Top Bottom