Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,425
- 17,887
Taarifa umepata kutokea kwa nani na saa ngapiKuna yaarifa nimepata kuwa kuna bomu limelipuka huko kibaha toka kambi ya jeshi na kuangukia kwenye nyumba ya mama mmoja.
Mlioko huko kibaha kama hii taarifa ni ya kweli mtujuze
Kuna jamaa yangu yupo maeneo ya gapo maili moja kibaha kaniambia kama dk 15 zilizopita. Nikaja huku jf kucheki sijaiona hiyo taarifa that's y nikauliza kama ni kweli hili tukio limetokeaTaarifa umepata kutokea kwa nani na saa ngapi
Hii imekaaa kama tetesi. Ila kutakuwa na ukweli kiasi flani hata kama mabomu yenyewe sio kama yale ya mbagala na gomziInaama hiyo ni kama tukio la Mbagala?
anhaa fanya kupata taarifa rasmi kwanzaKuna jamaa yangu yupo maeneo ya gapo maili moja kibaha kaniambia kama dk 15 zilizopita. Nikaja huku jf kucheki sijaiona hiyo taarifa that's y nikauliza kama ni kweli hili tukio limetokea
Kuna yaarifa nimepata kuwa kuna bomu limelipuka huko kibaha toka kambi ya jeshi na kuangukia kwenye nyumba ya mama mmoja.
Mlioko huko kibaha kama hii taarifa ni ya kweli mtujuze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhanaNilimpigia mtu wanasema hamna kitu kama hichio, labda kama mtu kajamba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3]Nasikia kuna Mtu tu alikuwa anajisaidia Vichakani ' Haja Big ' maeneo hayo ndiyo bahati mbaya ' akajamba ' na kutokana na mseto wa Vyakula alivyokula na Kiporo alichoamka nacho akasababisha mlio uwe ' tishio ' hadi Watu kudhania labda ni mlipuko wa Bomu.
Nawasiwasi na jinsia yakooNasikia kuna Mtu tu alikuwa anajisaidia Vichakani ' Haja Big ' maeneo hayo ndiyo bahati mbaya ' akajamba ' na kutokana na mseto wa Vyakula alivyokula na Kiporo alichoamka nacho akasababisha mlio uwe ' tishio ' hadi Watu kudhania labda ni mlipuko wa Bomu.