Ni kweli hakuna mwenye vyote?

Mwenye nguvu Hana pesa!
Mwenye pesa hana nguvu!
Mwenye pesa na nguvu Hana muda!

Hivyo kubali kuridhika na uliye nae utaishia kulia tuuu

Mistari michache tu kwa leo
Endelea kujifariji ,tafuta HELA ,narudia Tena tafuta HELA ukiwa na Hela nguvu Huwa zinakuja tu zenyewe automatically ,nguvu bila pesa hazisaidii kwa lolote
 
Hakuna!
Kila bosi ana bosi wake na Kila mnyonge na mnyonge wake
Nilivokuelewa ni kwamba unauliza kama kuna mwanaume mwenye nguvu za kiume, pesa, na muda wa kumridhisha mwanamke.
Hawa wapi mkuu hakuna pingamizi
 
Mnapanikishana tu wananzengo

Kuwa na hivyo vyote aanze kutaman wazungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…