Nyie vijana ndo maana mnapata division zero au four kwenye matokeo yenu mashuleni, kwa upeo wako unaona bandiki lako limekamilika kwa wana JF kuweza kukuelewa?
Mbona mada ipo wazi, labda wewe ndo uliefeli. Au ulitaka akwambie "rejea kichwa cha mada hapo juu".
Ambae hajaelewa asimlaumu mtoa mada ila atambue kuwa yeye ni "ZUZU"
Hata mi nasikia......waliotka jkt juzi wanasema baddo awamu nyingine mbili ukiachana na hii ya sasa.....kuna ya mwezi wa 9 wenye 3 arts halafu mwezi wa kwanza wenye 4 na zero....mkakati ni kuhakikisha vijana wote wanapitia jkt mwaka wetu na kuendelea