Ni kuhusu mtandao wa 'airtel'.

The Son

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
459
Reaction score
59
Habari za muda huu? Naomba unijuze kama nawezapata huduma ya FREE SMS ya kujiunga katika mtandao huo, mfano wa zile za 'xtreme' au 'tano' katika mtandao wa tiGO na ntajiungaje?
Nakushukuru sana.
 
piga 100 nao watakujulisha kwa kirefu....
au soma brochures za Airtell
 
Habari za muda huu? Naomba unijuze kama nawezapata huduma ya FREE SMS ya kujiunga katika mtandao huo, mfano wa zile za 'xtreme' au 'tano' katika mtandao wa tiGO na ntajiungaje?
Nakushukuru sana.

Ukituma message 10 unapewa messages 200. Hakuna haja ya kujiunga. Wewe weka hela tuma message 10 tu, utapewa 200!
 
Tuma sms J500 kwenye namba 15558, utapewa dakika 45 na sms 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…