Ni Juu ya mke tu

Tafuta wa huko huko UK
kuna watanzania na wakenya wengi tu huko
 
Acha kutuzingua hakuna watoto wenzio huku....

Wewe si umeomba ushauri mkeo hapatani na mama yako kisa alichepuka....

Kosa vyoteeeee upate akili
 
Acha kutuzingua hakuna watoto wenzio huku....

Wewe si umeomba ushauri mkeo hapatani na mama yako kisa alichepuka....

Kosa vyoteeeee upate akili

akija kupanda ndege ata siku moja ataanza kupaona UK pa kawaida. mwache ajifurahishe na stori za kutunga.
 
Naishi ughaibuni na nashindwa kuoa home Bongo kwa kuogopa kwani sitampanda ataenipenda mimi kama mimi bali tu kuja UK je niweke vigezo gani kumpata mkweli?

Tafuta mchamungu kuu hizo sifa nyngnetupa kule
 
attention! attention! attention!...wadada wanaotaka kwenda UK mPM mkaka hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…