hiyo kitu ni Kali sana mkuu!Lala na beseni la maji ndio dawa pekee wakipuliza asubuhi utakuta beseni lina povu ujue usiku kulikuwa na shughuli kwako isipokuwa haikufanya kazi, ning'iniza kikombe cha bati mlangoni wakishika mlango tu kinaanguka kelele zake hata wenyewe watakimbia maana huwa kina kelele sana mkuu
Ni sawa ila waweze kukulindaIdadi ya mbwa au paka ikipungua sitafanikiwa mkuu? let say mbwa watatu na paka wawili.