nacho1
Member
- Aug 31, 2014
- 80
- 65
kuna wizi umezuka maeneo nayoishi ambapo wezi hao wanatumia dawa inayowafanya waliomo ndani ya nyumba wanayotaka kuiba kulala fofofo kisha kuwaibia.
Mimi natafuta namna yakukabiliana na hili tatizo binafsi na pia kuisaidia jamii inayonizunguka waweze kujikinga na huu uhuni wa wezi.
Wanakemia, waamini wa dini mbalimbali na wajuvi wa mambo kama mshana jr. Naomba ushirikiano kutatua hili tatizo