Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 582
- 1,003
Ndugu Israel walipigwa tena vibaya kiufupi walishindwa. Kujiuzulu kwa Ehud Olmert kunahusishwa na rushwa lakini pia kuingia kwenye uncalculated vita na Hezbollah. Nawashauri ndugu zangu someni, and don't rely on what we call official version always kujenga hoja, there is always the other side of the corner that is not said.Hiyo Google ni ya waarabu au ya mashariki?
Kama haina jeshi zuri mbona waarabu (waislamu) wameshindwa kuwaondoa waebrania kabisa na wasiwahi kurudi tena?
.
Palestina wanaramani yao inayoonyesha kuanzia mwaka 47 hadi sasa "eti" territory zao zilivyochukuliwa, nchi zote za kiislamu haziwataki waebrania na zinatamani sio tu waondoke waangamie kabisa.
.
Swali kama Hezbollah walishinda kwa hizo missiles mbona hawakutumia mbinu hizohizo waongeze na zingine wawamalize kabisa kama wanavyootaga?
Ahahahaha! NI CHUKI TU na umezithibitisha mlijaribu kuzificha ila hatimae zimekuwa exposed.Ndugu Israel walipigwa tena vibaya kiufupi walishindwa. Kujiuzulu kwa Ehud Olmert kunahusishwa na rushwa lakini pia kuingia kwenye uncalculated vita na Hezbollah. Nawashauri ndugu zangu someni, and don't rely on what we call official version always kujenga hoja, there is always the other side of the corner that is not said.
The western media are being manipulated to suit their needs and objectives. Hivi mbona wanasema hospital zetu zimejaa wagonjwa wa Corona. Je ww ulishawaona? Israel is being overrated and is being used to suit interests of the western world. Kingine ni kwamba the real Jews siyo hawa wajinga wa Benjamin Netanyahu.
Hawa ni mapandikizi na vibaka tu. The Israelis masses are really suffering in the hands of those goons leaders. Nadhani was 2014 sikumbuki wali-swap 1 Israeli soldiers against 1400 Palestinian prisoners , wananchi wa Israel walilalamika sana kwamba uongozi wao unajali wanajeshi tu
We kichwa chako kigumu kuelewa,,nusu ya raia wa lebanon ni wakristo, hiyo ni moja,Sasa kumbe jibu unalo alafu unajaribu kulikataa?
sababu ni dini chuki ya waislamu dhidi ya Wayahudi na hii chuki roots zake ni Koran.
.
ndio maana hata vita za Israel huwa hazihusishi kwa sehemu kubwa Lebanon Army bali Israel against Hezbollah.
.
lebanon kumejaa waislamu, walebanon wakristo hawaishi Lebanon wanaishi mataifa mengine mfano Dk wangu pendwa kabisa Dr Paul Nassif.
Mkuu Mimi ni developer na huwezi hata mara moja kunambia nikajifunze nipo mbali na ni mfuatiliaji mzuri sana wa tech,Sasa mzee kama Google unaiita website unakataa hukusema wamefungia Internet wakati nilishaku-quote na huwezi futa dah!
.
Google sio website, Google ni search engine kama ilivyo Bing ya Microsoft ondoka nalo hili na ukajifunze zaidi.
Huwezi nielewesha upuuzi mimi abdool.We kichwa chako kigumu kuelewa,,nusu ya raia wa lebanon ni wakristo,hiyo ni moja,
Pili,Rais na mkuu wa majeshi ni christian,
Tatu,serikali inaundwa kwa baraza la mawaziri wengi wanatoka chama cha christian,
Hezbolah ni mshirika katika kuunda serikali ya lebanon na ina mawaziri 3.
Ha ha ha,kumbe max,,mbona umebadili ID baba mchungaji?Huwezi nielewesha upuuzi mimi abdool.
Ahahaha! Unaweza ku-program nini na HTML hata antivirus huwezi run 😝😝 hivyo vingine vyote wanasoma certificate huko.Mkuu Mimi ni developer na huwezi hata mara moja kunambia nikajifunze nipo mbali na ni mfuatiliaji mzuri sana wa tech,
Nime master.
Php
Node.js for back end
React.js
React native for mobile application(iOS & Android)
Express
WordPress
WooComerce
Laravel
Vanilla js
Jquery
Html5
Css3
XML
Vanilla.js
Am a full stack developer, wanaojua programming wanaelewa hizo language zina kazi gani.
Usifikiri una chat na mtu asie jielewa.
Naijua tech vibaya mno, huwezi hata kusimama na mimi ukisema nikuulize maswali.
Google ni website
Google ni kampuni pia
Google website kazi yake ni Ku search same to bing and yahoo au torch kwa tunaoingia dark-web.
Google ni multi a technology company but I was talking about google website.
Basi search most visited website mtandaoni kama hutoikuta google.
Acha ujuaji kaka, halafu nilisema huduma za INTERNET, sio walizuia Internet, unabishana na developer kuhusu Google, we una akili wewe?
Uko biasedKwa nini Israel ilikubali matakwa ya Hezbollah baada ya vita tofauti na mwanzoni?
Nini kiliwafanya wabadili mawazo?
Tupia andiko lolote linaloonesha Israel alishindwa,Ndugu Israel walipigwa tena vibaya kiufupi walishindwa. Kujiuzulu kwa Ehud Olmert kunahusishwa na rushwa lakini pia kuingia kwenye uncalculated vita na Hezbollah. Nawashauri ndugu zangu someni, and don't rely on what we call official version always kujenga hoja, there is always the other side of the corner that is not said. The western media are being manipulated to suit their needs and objectives. Hivi mbona wanasema hospital zetu zimejaa wagonjwa wa Corona. Je ww ulishawaona? Israel is being overrated and is being used to suit interests of the western world. Kingine ni kwamba the real Jews siyo hawa wajinga wa Benjamin Netanyahu. Hawa ni mapandikizi na vibaka tu. The Israelis masses are really suffering in the hands of those goons leaders. Nadhani was 2014 sikumbuki wali-swap 1 Israeli soldiers against 1400 Palestinian prisoners , wananchi wa Israel walilalamika sana kwamba uongozi wao unajali wanajeshi tu
Yooooote hayo halafu Google unaita website. Idiot.Mkuu Mimi ni developer na huwezi hata mara moja kunambia nikajifunze nipo mbali na ni mfuatiliaji mzuri sana wa tech,
Nime master.
Php
Node.js for back end
React.js
React native for mobile application(iOS & Android)
Express
WordPress
WooComerce
Laravel
Vanilla js
Jquery
Html5
Css3
XML
Vanilla.js
Am a full stack developer, wanaojua programming wanaelewa hizo language zina kazi gani.
Usifikiri una chat na mtu asie jielewa.
Naijua tech vibaya mno, huwezi hata kusimama na mimi ukisema nikuulize maswali.
Google ni website
Google ni kampuni pia
Google website kazi yake ni Ku search same to bing and yahoo au torch kwa tunaoingia dark-web.
Google ni multi a technology company but I was talking about google website.
Basi search most visited website mtandaoni kama hutoikuta google.
Acha ujuaji kaka, halafu nilisema huduma za INTERNET, sio walizuia Internet, unabishana na developer kuhusu Google, we una akili wewe?
@Bwana Utam hawezi kuelewa yeye anajua Hezbolla walishindaMh!! Wale wale!
Kwahiyo mshindi wa 2nd Lebanon war alikuwa Hezbollah? Rudi usome vizuri maandiko
Israel aliweza kuingia ndani kabisa ya Lebanon hadi mji mkuu wa Beirut, lengo kuimaliza Hezbollah. Ni kweli alipata losses kubwa kuliko 1st Lebanon war lakini hakushindwa.
Ni vile tu siasa za ndani za Israel, kelele za jumuia ya kimataifa na madhara ya vita viliifanya Israel iondoke ndani ya Lebanon bila kukamilisha mission yake. Ndo maana haichukuliwi kama ilishinda wala kushindwa.
Nakushauri usome maandishi bila bias, Iran team. Kwanza huwa nashangaa, kila muda Iran, ana nini zaidi ya pesa ya mafuta tu? Na bado hiyo pesa haijamsaidia kupata advanced weapons, atawatisha kina Yemen na Syria, not Israel
Soma vitabu na uandike facts sio ushabiki
Naona uelewa wako ni mdogo mno kuhusu middle eastWe kichwa chako kigumu kuelewa,,nusu ya raia wa lebanon ni wakristo,hiyo ni moja,
Pili,Rais na mkuu wa majeshi ni christian,
Tatu,serikali inaundwa kwa baraza la mawaziri wengi wanatoka chama cha christian,
Hezbolah ni mshirika katika kuunda serikali ya lebanon na ina mawaziri 3.
Na kindi hilo likamtoa ngamaNaona uelewa wako ni mdogo mno kuhusu middle east
Hezbollah sio serikali, ni kikundi mfano wa chama flani kinachoungwa mkono na kundi kubwa la Washia.
Hezbollah ni sehemu ya prox-wars zinazoongozwa na Iran dhidi ya Israel. Yaan Iran anadhamini vikundi vingi kugombana na Israel, mojawapo ni Hezbollah kwa upande wa Lebanon. Ni sawa na Houthi huko Yemen, Islamic Jihad huko Gaza etc
Kiufupi Hezbollah ni "nothing" zaidi ya kuonekana kikundi cha kigaidi kinachojificha kwenye migongo ya raia ili kujikinga na mashambulizi ya Israel. Israel haikupigana na jeshi la serikali bali kundi la Hezbollah
Kwa nini US na rafiki zake walimpa ruhusa Israel ashambulie Lebanon, walikuwa hawajui madhara ya vita?Uko biased
Israel hakukubali chochote toka hezbollah
2nd Levanon war iliingia katikati kabisa ya mji wa Beirut, sehemu kubwa ilikua "urban warfare" na madhara yaligeuka kuwa makubwa mno. Japo pia sikatai Israel ilipoteza askari na uharubifu kiasi
Kutokaba na uharibifu mkubwa Beirut na miji mingine, kelele za jumuia ya kimataifa ongezea kelele ndani ya Israel zililazimu UN kutengeneza green line kutenganisha Israel na Lebanon kukiwa na askari wake kulinda hilo eneo
Lebanon iliathirika vibaya mno, na haijawahi kukaa sawa hadi leo, lakiji pia Israel haikufanikiwa lengo lake
Nina submitt
Unazo takwimu za hii vita?? Jaribu kutuwekea walau kidogo kusapoti ushindi wa hezbollah, au andiko lolote linalosema hezbollah alishinda, hapo ntakubali bila shida.Kwa nini US na rafiki zake walimpa ruhusa Israel ashambulie Lebanon, walikuwa hawajui madhara ya vita?
Kumbuka US na wenzake ndio wanachama wakubwa wa UN.
Kwa nini US ilikataa Palestine kuwa Taifa licha ya kura nyingi za wanachama wa umoja wa mataifa duniani kukubali Palestine iwe taifa, lakini US alitishia pia kutopeleka misaada UN.
Na walifanikiwa juu ya hilo.
Ninacho maanisha ni kwamba umoja wa mataifa hauna nguvu zaidi ya US na genge lake, wakiamua kuipiga Lebanon hakika hakuna ambaye atatoka na kuwapazia sauti waache eti kisa madhara ni makubwa.
Kichapo kikali toka kwa Hezbollah ndio kilipelekea US na genge lake kutumia mwavuli wa UN kuomba suluhisho.
US amesha ua sana mfano Libya, nani alitokea hapa Africa kulaani?
Tuliandamana kipindi madege ya NATO yanatoa dozi?
AU ililaani kwa wakati ule?
Mkuu acha siasa mambo yapo wazi, Israel imepiga mara ngapi waarabu middle east bila UN kuingilia sembuse vita ya 2006?
Can't be serious.
Wayahudi ni kina nani hasa ?Abdool wapo ndio hao unaowaita Wayahudi.
Waebrania ni wazungumzaji wa Kiebrania yani Hebrews!
Hkika middle east kuna vikundi vingi ambavyo ni vi tiifu kwa Iran mojawapo ni Hezbollah kwa ujumla askari hao kwa ujumla katika vikosi hivyo ni zaidi ya 500,000.Hakika vita ikitokea na Iran ikavipa vifaa na mafunzo waliyowapatia Hezbollah, basi Israel itamalizwa na proxies kabla ya Iran yenyewe, kwani active personel Israel ni kama 170,000.
Hakika Israel itakuwa Ghost City.
Hezbollah walifanya ujinga mmoja tu, walitakuwa wapige mpaka tel aviv, hakuna cha kusikiliza cha po ya israel wala nini wangetwanga tu, hii ni po ya kinafiki kwa kuogopa madhara zaidi, walipaswa kupeleka hayo madhara na si kusikiliza hii po.
Ukifatilia madhara ya miundo mbinu unaona kabisa lebanon kuliharibiwa zaidi, sasa mnakubali vipikusimamisha vita kiboya, wangetwanga kwanza kule tel aviv halafu ndio wakubali mazungumzo, hapo wangekuwa wamepindua meza kibabe zaidi.
Pia mkuu kumbuka kuwa kama hawa hawakuchezea kichapo inamaana kuwa mpaka leo wangelikua operation zao wanaendeleza maeneo ya LebanonIlitakiwa iwe ghost city katika vita hii, kwa sasa hizi wa upande wa pili wana haki ya kusema hizi ni bla bla! Mie sikufirahishwa kusimama na kupew ushindi wa mezani, ilibidi wapige kwei kweli ile tel aviv iwe TELE MAJIVU(majivu tele)