Maendeleo hayana chamaTaarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mwisho wa kunukuu....
Mara zote viongozi waporaji na wanyonyaji wanawageuza wananchi kuwa wafungwa wao... Watafanya kila wawezalo Ili tu wananchi wasiwe huru kifikra!Huzuni yangu ni kuona Taifa lenye kila Haina ya utajiri na Vipaji vya aina yake likiwa Maskini Daima,,
Sina shaka kua uhai ni Zaidi ya chochote lkn kua hai na kupitia mateso ni Bora kua Katika nyumba yako ya milele Sote ni njia Yetu Kila Nafsi itaonja Mauti,,
Watu wanaishi Maisha ya Hofu na kujificha Katika kivuli Cha Uzalendo kuepuka kifo na utekaji
Watu wasiojulikana Ni wauaji
Namba Moja Wanatumika na watu wanaojulikana
Aibu kwao wamejaa uovu miyoni
Mwao
Vizazi ninateseka Kwa njaa, elimu duni,magonjwa tele
Mabinti wakijiuza kila uchao
Vijana wakipotez Maisha na kupata ulemavu kwsbb ya pikipiki
Wao wanakazi ya kugonga viti na meza wakisubiri posho
Ujinga wa Hadhira ni kukubali kua wao ni duni
Wanachagua Hata wasiowataka
Maisha Yao yamejaaa Mashaka
Ngojera za beat mwingi ni za wengi na wengiwao ni wezi
Kaa mbali hawanaga jema daima
Angalizo: Linda Sana Moyo wako kuliko chochot maana ndiko zitokapo chemchemi za uzima
Jamii ipewe elimu SanaMara zote viongozi waporaji na wanyonyaji wanawageuza wananchi kuwa wafungwa wao... Watafanya kila wawezalo Ili tu wananchi wasiwe huru kifikra!
SSH anakwambia kokote ambako wananchi wanahoji na kuwabana viongozi wao kushaharibika!
Viongozi wanaogopa kukosolewa... kuhojiwa...kuwajibishwa...mabadiliko na kutenda kwa haki ni wanyonyaji!Jamii ipewe elimu Sana
Hawa ni wanyonyaji
Tatizo kazungukwa na watu wanaofanya mambo mengine ambayo hawajatumwa wanajifanya wanamsaida kumbe wanamchafua....Maendeleo hayana chama
Na Chama Hakina Maendeleo,,
Uko ndy kuupiga mwingi,,
We zombie Tanzania siyo maskini we ndio maskini, kapambane na maisha siyo kuja kulialia huku na porojo za kipumbavu hazitakusaidia chochote.Huzuni yangu ni kuona Taifa lenye kila Haina ya utajiri na Vipaji vya aina yake likiwa Maskini Daima,,
Sina shaka kua uhai ni Zaidi ya chochote lkn kua hai na kupitia mateso ni Bora kua Katika nyumba yako ya milele Sote ni njia Yetu Kila Nafsi itaonja Mauti,,
Watu wanaishi Maisha ya Hofu na kujificha Katika kivuli Cha Uzalendo kuepuka kifo na utekaji
Watu wasiojulikana Ni wauaji
Namba Moja Wanatumika na watu wanaojulikana
Aibu kwao wamejaa uovu miyoni
Mwao
Vizazi ninateseka Kwa njaa, elimu duni,magonjwa tele
Mabinti wakijiuza kila uchao
Vijana wakipotez Maisha na kupata ulemavu kwsbb ya pikipiki
Wao wanakazi ya kugonga viti na meza wakisubiri posho
Ujinga wa Hadhira ni kukubali kua wao ni duni
Wanachagua Hata wasiowataka
Maisha Yao yamejaaa Mashaka
Ngojera za beat mwingi ni za wengi na wengiwao ni wezi
Kaa mbali hawanaga jema daima
Angalizo: Linda Sana Moyo wako kuliko chochot maana ndiko zitokapo chemchemi za uzima
Wew ndy zombie,, umaskin unaongelewa Hapa ni wa taifa Kwa ujumla na sio umaskin wako binafsiWe zombie Tanzania siyo maskini we ndio maskini, kapambane na maisha siyo kuja kulialia huku na porojo za kipumbavu hazitakusaidia chochote.