Darius Tanz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 461
- 137
Habari zenu wakuu, ipo hivi, miezi miwili iliyopita nilipata skin infection around the head of my penis, nkaenda pharmacy nkapewa sonaderm nkatumia nkaacha kuitumia baada ya kuona nmepona, ila last week nkaona ile infection inarud upya na njia ya mkojo ikiwasha, nkanunua sonaderm nkaanza kutumia na naendelea vizuri sasa cha kushangaza leo nlipoamka asubuh nkiwa napata haja ndogo ukatangulia usaha kisha ukafuata mkojo wa kawaida (mweupe) na mda c mrefu nmetoka kujisaidia umetangulia usaha kisha ukafuata mkojo, je ni ile skin infection imeingia kwenye njia ya mkojo au Gono? (nilikutana kimwili mara ya mwisho 02/1/2017 na ilkua peku na my long term girl friend)....pia sihisi maumivu yoyote nikiwa najisaidia haja ndogo.