King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,446
- 96,633
Mara nyingi mikataba huwa Ina kipengele kinachompa nguvu msanii kutopanda jukwaani bila kumaliziwa kiasi kilichobaki kulingana na makubaliano. Diamond atakuwa anatumia hiko kipengele inapotokea hajamaliziwa pesa. Kwa ninavyoona mapromota huwa wanakwenda kinyume na makubaliano ndiyo maana mara zote tunaona Diamond haingii matatizoni na Police wa nchi husika.
Hizo ni kwa Local lakini ukivuka boda mpunga lazima uingie kwa bankwa ndio nanyanyua maguu,babu tale inabidi awaambie hao mapromoter bila kuingiza mpunga 100% hakuna show ndio maana diamond anakutana na aibu kama hizo za kudai uero 250,we unafikiri kina rick ross wakija huku wanalipwa nusu kwanza? Tatizo babu tale anataka kutalii tu nje ya nchi hana lolote show za nje zote inatakiwa ulipwe mpunga 100%!
Hahaaa...ni Diamond tena aharibu UK show imebuma watu wamelipa ma euro wamekaa mpaka saa kumi alfajiri no show...huyu dogo tukimsema kuna watu mnatuona tuna beef na mafanikio yake...ila ntaendelea kusema dogo anakuzwa sana wakat hana hadhi ya international huwezi kuingia mkataba na promoter ambaye hujui kama ni magumashi ama niaje mana lazima management yako ifanye research kabla hujapokea pesa za watu? Diamonda hama management nzuri ni watu wale wale wakuokota anategemea nin? Mwisho wake uko ukingoni...mashabiki walirudishiwa chao baada ya fujo kubwa nakuharibu mali,polisi walifika nakuokoa jahazi
apige selfie ya mwisho mwisho maanake anguko linakuja.hata kama promoter ndo magumashi ilipidi walione hilo mapem yeye na management otherwise. domo atadoda soon. watu watachoka.wanaona raha kupanda ndege kabla hawajasoma mkataba.shule jamani muhimu. wote div 6 lazima tutegemee haya.Babu tale akija promoter feki akimuongelesha yes no na yeye kwakua lugha haipandi anasema yes bila kuelewa wakifika huko wakipewa hivyo walivoelewana kunatokea mvurugano,tatizo la pili babu tale anapenda kutalii tu nchi mbalimbali hana lolote,domo huyo tale anafaa show za huku kwetu uswazi hizo za nje tafuta kina AY na A-unit wakusaidie.
matumbo naomba usome hii
Yeah ....AY anaweza kumsaidia kwa show za nje ......
Sijui kama ataeshimiwa hivi karibuni tena malalamiko yaliyo tapakaa mtaani inabidi aombe msamaha. Watu wengine wametoka nje ya miji kuja muona yeye kipi muhimu fans waliojitokeza au hela ambayo angeweza daiana na promotor pembeni, dogo mshamba sana na sio professional kabisa. Nasikia alipewa £2100 katika £3000 kwa kazi ya lisaa limoja akaambiwa baada ya show atalipwa kakataa ku-perform pimbi kweli yule tugulu.Uhenda hii style ya Diamond ikawafanya waanze kumuheshimu na kuheshimu wasanii wa kibongobongo, maana wanawachukulia kama wanawapeleka kushangaa ulaya .
Hizi ishu ni ngumu sana, unaweza ukawa hautoki uswahilini na ukatapeliwa vile vile ...Tale ana madhaifu yake lakini anajitahidi kiasi chake, hapa cha muhimu ni kuwa makini na mapromota wa nje maana wameshajua diamond ana nguvu ivyo ni ize kujaza watu so wanatumia ujanja ujanja ili wapate chochote, na asikwambie mtu ni ngumu sana kubaini uyu ni tapeli au uyu yupo serious kama watu wanavyoongea hapa labda waseme unajua vipi, Africa wasanii wetu bado awajafikia level za kufanya na makampuni ya uhakika kiivo bado tupo level za awa awa promoters.
Mbona juzi kafanya na promoters wa kinaijeria O2 London na show ilikwenda vizuri watu nyomi na kapewa pesa ndefu bila longo longo.
Yupo vizuri.
Hivi hii show ya Mkasi ya Salama J si kuna mkono wa AY?
Kwanini yeye ni pimbi na sio p-square wanao lipwa full amount kabla ya kupanda ndege.. ??Nasikia alipewa £2100 katika £3000 kwa kazi ya lisaa limoja akaambiwa baada ya show atalipwa kakataa ku-perform pimbi kweli yule tugulu.
Yeah ....AY anaweza kumsaidia kwa show za nje ......
Yupo vizuri.