Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Kampuni za kubashiri hazijawahi kuwa kipimo cha hilo, M-bet toka nianze kuifahamu haijawahi kuweka mechi za TPL na kampuni kadha wa kadha.
.
Alafu kwa kuweka rekodi sawa ndugu chura pigabet wanaweka mechi za TPL kila zinapokuwepo.
1Xbet ni ndogo sana hiyo zungumzia sportpesa naweza kidogo kukuelewa.Umejiuliza kwann 1xbet wamecha ghafla kuziweka?
Achana na hao maskini hata game kubwa za ulaya nyingine hawaweki hao ni kampuni njaa hata ukila milion 2 hadi uongozi wa juu unajulishwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujuagi kuwa kampuni za betting hupenda zaidi ligi ambazo matokeo hupangwa,ligi ya Italy imeharibiwa na kampuni za betting,vivyo hivyo kwa ligi ya uturukiBaada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...
Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....
Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.
Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.
Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani broo kumbe wew syo kabisa nasubutu kukuambia wew ni mjinga cozi katika kampuni bora za kubet duniani sidhani kma 1xbet kuna ambaye anaweza kujilinganisha kwa kila kitu hao sportpesa wako wa uchochoron broo1Xbet ni ndogo sana hiyo zungumzia sportpesa naweza kidogo kukuelewa.
.
1Xbet kwanza hawana license hapa Bongo hivyo walikuwa wanatuibia ni wezi walikuwa hawalipi kodi
Screenshot game za wkend hii ulete hapa...sio simba,mtibwa,yanga wala nani aliwekwa kule 1xbet1xbet waliweka game hii weekend n namimi nilibetia acha kupotosha watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Broo nawe umenza lini fitna?Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...
Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....
Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.
Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.
Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo liko wazi,, tumuuliza ameona wameweka ligi ya Zanzibar au Rwanda au Burundi?Kampuni za kubashiri hazijawahi kuwa kipimo cha hilo, M-bet toka nianze kuifahamu haijawahi kuweka mechi za TPL na kampuni kadha wa kadha.
.
Alafu kwa kuweka rekodi sawa ndugu chura pigabet wanaweka mechi za TPL kila zinapokuwepo.
Hahah kitengo changu kikongwe hicho..dismas akitoka pale namreplace
Haijui X1 bet huyo x1 bet ni habari nyingine kwanza inaoption nyingi sana.Yani broo kumbe wew syo kabisa nasubutu kukuambia wew ni mjinga cozi katika kampuni bora za kubet duniani sidhani kma 1xbet kuna ambaye anaweza kujilinganisha kwa kila kitu hao sportpesa wako wa uchochoron broo
Sent using Jamii Forums mobile app
LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO BASI LIPO NJIANI LINAKUJABaada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...