Ni dhahiri sasa TPL inahusishwa na kashfa za upangaji wa matokeo

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
15,329
2,000
Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...

Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....

Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.

Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.

Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,322
2,000
Kampuni za kubashiri hazijawahi kuwa kipimo cha hilo, M-bet toka nianze kuifahamu haijawahi kuweka mechi za TPL na kampuni kadha wa kadha.
.
Alafu kwa kuweka rekodi sawa ndugu chura pigabet wanaweka mechi za TPL kila zinapokuwepo.
 
Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
15,329
2,000
Umejiuliza kwann 1xbet wamecha ghafla kuziweka?

Achana na hao maskini hata game kubwa za ulaya nyingine hawaweki hao ni kampuni njaa hata ukila milion 2 hadi uongozi wa juu unajulishwa,

1Xbet ni ndogo sana hiyo zungumzia sportpesa naweza kidogo kukuelewa.
.
1Xbet kwanza hawana license hapa Bongo hivyo walikuwa wanatuibia ni wezi walikuwa hawalipi kodi
 
McFerson

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
1,840
2,000
Sasa mechi ya Simba na timu za TPL msimu huu si inajulikana kabisa simba inashinda ?! Kwani wenyewe hawajui kuliwa ? Ndio maana wakatoa zote ili kusawazisha mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kizo83

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
352
500
Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...

Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....

Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.

Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.

Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujuagi kuwa kampuni za betting hupenda zaidi ligi ambazo matokeo hupangwa,ligi ya Italy imeharibiwa na kampuni za betting,vivyo hivyo kwa ligi ya uturuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jan 17, 2019
12
45
1Xbet ni ndogo sana hiyo zungumzia sportpesa naweza kidogo kukuelewa.
.
1Xbet kwanza hawana license hapa Bongo hivyo walikuwa wanatuibia ni wezi walikuwa hawalipi kodi
Yani broo kumbe wew syo kabisa nasubutu kukuambia wew ni mjinga cozi katika kampuni bora za kubet duniani sidhani kma 1xbet kuna ambaye anaweza kujilinganisha kwa kila kitu hao sportpesa wako wa uchochoron broo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1kush africa

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
8,268
2,000
Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...

Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....

Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.

Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.

Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Broo nawe umenza lini fitna?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,497
2,000
Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...

Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....

Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.

Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.

Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO BASI LIPO NJIANI LINAKUJA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom