Ni bora tu nipewe Limbwata...

Yani mke wako anatumiwa sms usiku "Honey usiku mwema na uni
Yani wewe mke wako anatumiwa sms na mwanamke mwenzake eti "honey nakutakia usiku mwema na uniote" halafu bado unaulizia limbwata?? Yani wewe mpaka hapo hujajua umeshalishwa limbwata mara 2 siku nyingi?? Nashangaa unahitaji uongezewe...You need serious prayers!!!!
 
Wewe ndio unataka upewe au unataka kumpa mtu unatuzuga? ivi kweli mtu na akili yake Dunia ya leo anaweza kutaka sumu anywe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…