Sodoku Myebusi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,285
- 2,974
Mkuu umeongea kwa code? Au ni mimi tu ndo sijakuelewa?Siku hizi utashangaa mwanamke mwenzake anakugongea wife material.Limbwata pekee nenda kakope Bank au Pride hutajuta..
mkuu kama ulikua kwenye mawazo yangu vile.. Jamaa keshapewa limbwata tayari labda adai nyongeza tu hapo.Mbona kama unalimbwata tayari mkuu
chukua hioNjoo chukua limbwata la kipogoro huku Malinyi-Morogoro
Yaan utaishi kwa aman miaka yote
Pia limbwata la kwetu hali expire mapema
Yaan utampikia, kumfulia chupi, kumpa na kondomu ili asikuambukize, utawafukuza ndugu zako, utampa mshahara wote ili ahonge wanaume wengine, utakuwa unalala sebulen ili room uwaache wajichane na mkeo
Kama umelipenda bas krb malinyi nauli kutoka Moro twn had malinyi ni 23000
Hahahh mambo ya kusaga na kukoboa wabaya sana waleeSiku hizi utashangaa mwanamke mwenzake anakugongea wife material.Limbwata pekee nenda kakope Bank au Pride hutajuta..
Sasa kuna raha gani ya kumfanya hivyo mumeoHa ha ha kijana hapana chezea Limbwata ya Tabora au Ifakara,yaani unakuwa ndondocha kabisa,na kazini huendi wewe unashinda ndani tu,wewe ndiyo utakuwa mpishi wa nyumba...limbwata ya huko itakufaa sana..
Siku hizi utashangaa mwanamke mwenzake anakugongea wife material.Limbwata pekee nenda kakope Bank au Pride hutajuta..