Cool apps lakini Alarm si hata bila app ipo kwenye simu?Epicurious:
Nzuri kwa mapishi
Alarm clock:
Really cool customizable alarm
CamiApp:
Change hand taken notes into e-readable paper
Sikuwahi kutambua kuwa smartphone inaweza run application za ukubwa kiasi hiki.
Aksanten sana wadau
CESTUS japo google ipo do u mind wa fida ya wasomaji ukitoa clue kidogo each one of those apps zinafanya nini ?
Mkuu hii ni game ya kucheza kung fu au..... tupe clue kidogo ?
Una maana kwenye android au kwenye IOS? unaweza kunipa jinaa hiyo app au link niicheki
Cool apps lakini Alarm si hata bila app ipo kwenye simu?
@ Gaijin and all others mem bers
Zaidi ya hizo ulizotaja developer wa Kitanzania anakuuliza ni app gani ya kiswahili inaweza kuwa usable most kwa watanzania au ungependa kuitumia ?
Mtazamaji, what do you think of ATM-finder?
Tutengeneze App ambayo itakuonyesha the nearest ATM kutoka location uliyopo....na ikiwa na live updates kuhusu condition ya huduma kama "Out of Order," "Out of Cash," na "long Queue," will be super cool (@-@)
.........
satellite directot + Sat35 kwa kumia apps hizi mbili huhitaji fundi wa dish instllation, utapata elevation na adhimus, frequency na symbol rate za channel zote zinazopatikana ktk satellite husika
Tutengeneza app ambayo itakuwa inatumia bluetooth kusearch simu zote zilizo kwenye range ya bluetooth na kukupa results ya Phone Name, Phone Type pamoja na PHONE NUMBER.