(1)Traffic Officer anayefanya kazi kwenye hicho kibanda anaweza kweli kutaka kuirudisha CCM madarakani?
(2) Mtu anayekwenda kukomboa baisikeli yake au pikipiki yake kwenye hilo lundo huipataje?
(3) Wageni wanapoona ofisi za polisi ndio kama hizi, na viongozi wanatembelea lukuki ya ma VX, wanatuona tuna akili timamu kweli?