Kendrick Rama
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 409
- 459
halafu ngwea alifloo simple tuhTunajikinga ingawa wanamaind kuzaa na sie,
Wana thamani ya Diamond na tunawabeba 4free
Fid alipata kusema kuwa alipopewa beat ya CNN, aliandika verse kali akaingiza vocal akajua amemaliza, alipokuja kusikia verse ya Ngwea ikabidi aombe verse yake ifutwe ili ajipange kuandika upya.
CNN
C- CEYDOU
N- AND
N- NGWEAH
noma sana"U think Small n' u Remain Small 4life" - Fid Q
Mkuu sorry Ceydou ndo nani?Tunajikinga ingawa wanamaind kuzaa na sie,
Wana thamani ya Diamond na tunawabeba 4free
Fid alipata kusema kuwa alipopewa beat ya CNN, aliandika verse kali akaingiza vocal akajua amemaliza, alipokuja kusikia verse ya Ngwea ikabidi aombe verse yake ifutwe ili ajipange kuandika upya.
CNN
C- CEYDOU
N- AND
N- NGWEAH
babuu wa kitaaMkuu sorry Ceydou ndo nani?
Ceydou Mandingo "babuu wa kitaa"Mkuu sorry Ceydou ndo nani?
Yeees! Mule mule 2009_2010Hili ngoma ni hatari sana hii nadhani ilikua 2009 au 2010 ukipata mziki mkubwa beat linanonga sana yani...enzi hizo huku inapigwa stimu zimelipiwa, mara CNN daah ilikua safi sana yani...
Aaah Kaizasosa Mapanki kumbe!Ceydou Mandingo "babuu wa kitaa"