mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Yaani jinsi ulivyoandika utadhani umegundulika una kansa sijui...! Petty ishu hizo jaman...mbn mnaendekeza sana dudu nyie watu? Utarudi kuwa kawaida!
Huu muda unaowazia hausimamishi kuna mwenzako anautumia kuingiza 100!shauriro
Maana kiungo chochote cha mwili kuna muda huwa hakijisikii vizuri kama vile ilivyo kwa mguu kufa ganzi au kiungo chochote kuonyesha hali isiyokuwa ya kawaida, ila ikija kwenye DYUDYU watu wanakosa raha unaweza ukawaambia hata kunywa maji ya chooniYaani jinsi ulivyoandika utadhani umegundulika una kansa sijui...! Petty ishu hizo jaman...mbn mnaendekeza sana dudu nyie watu? Utarudi kuwa kawaida!
Huu muda unaowazia hausimamishi kuna mwenzako anautumia kuingiza 100!shauriro
Mkuu uyo ni mtu na ndo yake kumbukaYaani jinsi ulivyoandika utadhani umegundulika una kansa sijui...! Petty ishu hizo jaman...mbn mnaendekeza sana dudu nyie watu? Utarudi kuwa kawaida!
Huu muda unaowazia hausimamishi kuna mwenzako anautumia kuingiza 100!shauriro
mkata-mkaa, Naomba nikushauri safiri kwa muda wa wiki mbili hata kijijini kwenu Kama Mambo sio Safi then rudi kwa mkeo, hii ndio dawa pekee ya nguvu za kiume.
Amini ninavyokwambia. Unachohitaji Ni mapumziko tu na si kingine. Utakuja kunishukuru badae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema naomb kufaham ulikuja ukawa sawa ??? Ni muhim sana naomb hat namb ako kama hutojal
Wadau nimepatwa na tatizo hata sijui nifanyaje nimepoteza hamu ya tendo la ndoa ghafla toka juzi.
Akili yangu haiko sawa sijui nini kimenipata asubuh mimi kwa kawaida wakati naamka uume unakuwa umesimama lakini toka juzi yani uume hausimami kabisa, kuna muda nakuwa na hamu ya tendo. Lakini nikiwa najiandaa kufanya tendo na mke wangu basi hamu inakata ghafla.
Siku ya kwanza hiyo hali kutokea nilidhanu uchovu lakini nilipojalibu siku ya pili ikawa vilevile hamna mabadiliko.
Hapa nilipo sina Amani. Nimeamua kufanya mazoezi ya kukimbia ili hali yangu iwe sawa.
Naishi kwa wasiwasi sana sijui nini kimenikuta, Leo ni siku ya nne sina Amani kabisa.
Naomba msaada wadau
Sent using Jamii Forums mobile app