Nguvu za KIUME vs Za KIKE

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
808
Reaction score
392
Toa macho ujumbe ndo huo
 

Attachments

  • 1418404519479.jpg
    87.1 KB · Views: 968
Acha utoto unajaza server bila sababu za msingi, hiyo picha ipo kwenye thread nyingi sana hapa jf sasa mtu akikaa tu akijisikia anaanzisha thread.
 
Sijui ni mara ya ngapi naiona hii picha hapa JF na maudhui ni yaleyale...
 
Acha utoto unajaza server bila sababu za msingi, hiyo picha ipo kwenye thread nyingi sana hapa jf sasa mtu akikaa tu akijisikia anaanzisha thread.

Wew unaongea kama hapa JF??
 
Hujambo bi mkubwa...umepotea sana hadi umemisiwa na mimi!!!

sijambo kabisa mkuu watu8...nipo ndugu ila kunavimajukumu fulani vinakula muda wangu nashindwa hata kuingia humu. but nitarudi soon
 
Hmmmmm! Hili limekaa kimchinamchina.
 
sijambo kabisa mkuu watu8...nipo ndugu ila kunavimajukumu fulani vinakula muda wangu nashindwa hata kuingia humu. but nitarudi soon

Just take ya time buddy, just take ya time...

Nafurahi kutambua u mzima DEMBA...

Barikiwa...
 
Last edited by a moderator:
Kuna wengi tu hawana lolote kati ya hayo na wanafurahia maisha.Usanii unasaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…