Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,732
Uswahilini utaitwa Marioooo!, umekamatwa masikio, husemi kitu, kwamke hasa ukimtumia mpate maendeleo! lazima umpende kosa ukimpenda ndo hayo majina hapo juu.Nikiwa na lepe la usingizi naandika uzi kama ifuatavyo
Wanawake ni chombo cha utajiri sema hujui jinisi gani ya kukitumia kuvuna utajiri ila unajua jinisi ya kukitumia kam chombo cha anasa.
Naimani mwanamke ana nguvu kubwa kwenye kila mafanikio yako kama utamtumia ipasavyo na akakupenda kweli
Mwanamke akisema aamue kufanya kitu kwenye hii dunia hashikiki iwe biashara ,elimu,n.k ndio maana mababu waliakaataa kuwapeleka shule
Nataka niwape somo vijana kuwa mtumie ulienae kuvuna umilionare sio kuchakata nyapu tu uku unazeeeka utazikwa na boksi
Uzi tayari[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
TawaKuna ukweli katika hili la mtoa Uzi.
Jambo la msingi umpende au mpendane kweli na kuheshimiana , wanawake wana nguvu ya ajabu sana , ukiaa naye na kuishi naye vizuri lazima mufanikiwe.
Naunga mkono hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wana asili ya dharau hasa kwa wanawake zao, Mimi ni mmoja wa wanufaika, mke wangu amenisaidia saana, ninayejua ni mimi mwenyewe, namuomba Mungu amlinde, amjalie afya njema na amuepushe na kila lililo baya, Ninampenda sana mke wangu.Kuna ukweli katika hili la mtoa Uzi.
Jambo la msingi umpende au mpendane kweli na kuheshimiana , wanawake wana nguvu ya ajabu sana , ukiaa naye na kuishi naye vizuri lazima mufanikiwe.
Naunga mkono hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
We umevuna milioni ngapi?Nikiwa na lepe la usingizi naandika uzi kama ifuatavyo
Wanawake ni chombo cha utajiri sema hujui jinisi gani ya kukitumia kuvuna utajiri ila unajua jinisi ya kukitumia kam chombo cha anasa.
Naimani mwanamke ana nguvu kubwa kwenye kila mafanikio yako kama utamtumia ipasavyo na akakupenda kweli
Mwanamke akisema aamue kufanya kitu kwenye hii dunia hashikiki iwe biashara ,elimu,n.k ndio maana mababu waliakaataa kuwapeleka shule
Nataka niwape somo vijana kuwa mtumie ulienae kuvuna umilionare sio kuchakata nyapu tu uku unazeeeka utazikwa na boksi
Uzi tayari[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
leo, wamekupa vitu hatari sana, mbona sifa zote hizi!Nikiwa na lepe la usingizi naandika uzi kama ifuatavyo
Wanawake ni chombo cha utajiri sema hujui jinisi gani ya kukitumia kuvuna utajiri ila unajua jinisi ya kukitumia kam chombo cha anasa.
Naimani mwanamke ana nguvu kubwa kwenye kila mafanikio yako kama utamtumia ipasavyo na akakupenda kweli
Mwanamke akisema aamue kufanya kitu kwenye hii dunia hashikiki iwe biashara ,elimu,n.k ndio maana mababu waliakaataa kuwapeleka shule
Nataka niwape somo vijana kuwa mtumie ulienae kuvuna umilionare sio kuchakata nyapu tu uku unazeeeka utazikwa na boksi
Uzi tayari[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
aina ya wanawake unaokutana nao pia huchangia mengi katika hayo pengine chaguzi zako ila mleta mada yusahihiUnazunguamzia hawa ambao ukianza nae mahusiano simu yake inaharibika, unakuwa mlipa Kodi wa chumba, mlipa Luku na bill ya maji,
Sent using Jamii Forums mobile app