Umeona kaka niko nafanya risechi kubwaSijui kama umefanaya utafiti au la
Ila wanawake wanauwezo mkubwa sana, sema naona kama wanaohitaji starter na kupewa dira ukimaliza hayo muache atiririke utashanga mwenyewe mambo yanavyojipa anyway namkubali sana manzi wangu.
Una maanisha ni mtumie hili niweze kuwa millionea au sijaelewa swali?
Labda wanawake wa abroad sio hawa... Speaking from experience
Wangu katokea Tanzania naweza kusibitisha hiloSio Africa hasahasa Tanzania.
MjeeeeehNgoja nivute KITI niketi ili nisubiri Michango zaidi ya WADAU