Falsafa ya "Nguvu na mamlaka ya Umma" ndiyo misingi na chumbuko la ... kuundwa dola ya nchi, na kuwa Umma ndiyo wenye madaraka ya mwanzo na ya mwisho katika kuamua hatima ya nchi na taifa pasipo kuingiliwa, kudanganywa au kughilibiwa na viongozi, watawala au wageni.