mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
sana tu.Kipindi fulani nilikuwa natumia kusafishia meno na yalikuwa meupe kweli.
kitabu kinachotoa mbadala wa madawa kwa familia.umejifunza mahala gani
anhaa..vipi hamna madharakitabu kinachotoa mbadala wa madawa kwa familia.
njia hizi zilitumika duniani kabla ya revolution ya madawa ya hospitalini mkuu jose.
ni kweli mkuu zile carbon ni kubwa kipenyo ni mm kadhaa nadhani. lkn zile nadhani zimekuwa customized kwa kukamata dhahabu kwa msaada wa kemikali nyingine na kwa kiwango flani (mfani NaCN) na LIME kwa ajili ya kumaintain PH inayitakiwa.Ile Carbon inayotumika Migodini inakua ni Changarawe ndogo ndogo.
Sasa kwa idea yako tukisaga si itakua unga! Je unga unga unaweza kukamata chochote?
Otherwise kuna maelekezo hujayaweka!
anhaa..vipi hamna madhara
mkaa umekuwa ukitumika kwa maelfu ya miaka kama tiba asilia bila kuwa na record ya kuleta madhara. unaweza kukumbuka hata tukiwa watoto tulikula mikaa bila madhara yoyote.Mkaa wa mti gani? Au wowote tu?? Vp kuhusu madhara yoyote
ndio huo ndio unaotakiwa...una kunywa na mkaa wote?
OK, na inatakiwa Powder kabisa au Chengachenga?ni kweli mkuu zile carbon ni kubwa kipenyo ni mm kadhaa nadhani.
lkn zile nadhani zimekuwa customized kwa kukamata dhahabu kwa msaada wa kemikali nyingine na kwa kiwango flani (mfani NaCN) na LIME kwa ajili ya kumaintain PH inayitakiwa...
powder inakuwa na uwezo mkubwa wakuadsorb hivyo kuleta manufaa kwa wakati.OK, na inatakiwa Powder kabisa au Chengachenga?
poa poa kiongozimkaa umekuwa ukitumika kwa maelfu ya miaka kama tiba asilia bila kuwa na record ya kuleta madhara. unaweza kukumbuka hata tukiwa watoto tulikula mikaa bila madhara yoyote...
Na uje unywe mbele yetu kwanza tuione hiyo nguvu yake kupitia kwako!Kila mtu ni mtaalamu siku hizi atii...
Kuna somo naliandaa, ntawafunza jinsi mavi ya mbuni na mkojo wa mbuzi ilivyo na nguvu...
Sijasema kuwa unakunywa...Na uje unywe mbele yetu kwanza tuione hiyo nguvu yake kupitia kwako!
unaandaa kwa sababu kila mtu siku hizi anajifanya mtaalam au kwa sababu unakitu unataka kushare na jamii ndugu.Kila mtu ni mtaalamu siku hizi atii...
Kuna somo naliandaa, ntawafunza jinsi mavi ya mbuni na mkojo wa mbuzi ilivyo na nguvu...
Vyote...unaandaa kwa sababu kila mtu siku hizi anajifanya mtaalam au kwa sababu unakitu unataka kushare na jamii ndugu.