Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Kuwa serious kidogo ili mjadala uwe na tija, nimejibia hili mara ngapi?
Majibu yako yote yamezaa maswali ambayo hujayajibu.

Umesema Mungu ni nguvu, nimekuuliza hiyo nguvu ina upendo au haina upendo?

Umekimbila hili swali. Hujalijibu.

Nioneshe ulipolijibu.
 
Embu jibu hili kwanza, JE, MTU ASIYEJUA SQUARE ROOT NI NINI ANAWEZAJE KUTUTHIBITISHIA KUWA SQUARE ROOT YA NAMBA HAIWEZI KUWA KUBWA ZAIDI YA NAMBA YENYEWE?
 
Habari za Upendo unazitoa wapi hali mimi sijazitaja? Nimekuambia sifa kuu ya kwanza ya Mungu ni uumbaji wa ulimwengu, the Creator.
Je, unatambua uwepo wa nguvu iliyofanya ulimwengu?
 
Kwa nini ahitaji kukuthibitishia hilo?
 
Habari za Upendo unazitoa wapi hali mimi sijazitaja? Nimekuambia sifa kuu ya kwanza ya Mungu ni uumbaji wa ulimwengu, the Creator.
Je, unatambua uwepo wa nguvu iliyofanya ulimwengu?
Habari za uoendo nazitoa wapi kama wewe hujazitaja?

Nina "litmus tst" yangu ya kumpima Mungu yeyote. Ina tumia dhana ya upendo.

Mungu wako anaogopa kupimwa na "litmus test" yangu inayotumia dhana ya upendo?
 
Upendo ni nini? Niambie hiyo dhana ya upendo uitumiayo ni nini kwako?
 
Hiyo sayansi ni ya upotoshani. naweza kulinganisha na fikra za Darwin zinazopumbaza watu mpaka leo. Mola pekee ndiye alie umba Dunia na vilivyomo kwa siku sita na ya saba akapumzika.
kwa kauli yake "Kun Fayakun" yaani kuwa na kikawa.
wanasayansi muda mwingine aisee ni changamoto sana.
 
Upendo ni nini? Niambie hiyo dhana ya upendo uitumiayo ni nini kwako?
Upendo kwangu ni kutoruhusu kibaya kitokee kama unaweza kukizuia na kuruhusu kizuri kitokee kama unaweza kufanya hivyo.

Mungu wako huyo ana upendo?
 
Mtoto anayefundishwa hii ni a na hii ni b, anahitaji kuthibitishiwa hilo?

Utathibitishaje hii ni a na hii ni b?
Unazungumzia Unasibu wa lugha kujenga hoja ya kupinga uwepo wa Mungu? Kwanini umtumie mtoto na si mtu mzima? Nawe huna tofauti na wamuhusishae Mungu na IMANI za kusadikika.
 
Upendo kwangu ni kutoruhusu kibaya kitokee kama unaweza kukizuia na kuruhusu kizuri kitokee kama unaweza kufanya hivyo.

Mungu wako huyo ana upendo?
Ubaya ni nini kwako na unatoka wapi? Uzuri ni nini kwako na unatoka wapi pia?
 
Nguvu(Energy) inaweza kutengeneza object(mass). Kutokana na relativity theory ya Einstein E=mc^2 where c= speed of light in free space, inawezekana kabisa kucreate object kutoka katika Energy.
 
Kila kitu huanzia kichwan kama wazo na baadae ndo kinakuwa kitu halis kama mtu katengeneza kijiko aliwaza na akakitengeneza kwenye nawazo maana yake alijua ni wapi atapata material yake mpaka kukamilisha
 
Unamzungumzia nani mungu ama...?
 
kwa kauli inawezekanaje kuunda object..?
 
kama ukiamini Mungu ananguvu basi hilo ni jambo jepesi sana kwake kuumba kitu kwa kauli yake moja tu. ila ukitaka proof ya sayansi yenu kwa kila kitu ni kupoteza muda na ndio maana hata sayansi imeshindwa kuthibitisha roho inatoka vipi. inabidi ifike kipindi tuamini kuwa MwnyeziMungu yupo.
 
tuamini tu! kuna uthibitisho gani kuwa yeye ndo aliumba vitu vyote..?
 
kama unaamini kuwa yupo basi nakusihi uamini na maandiko ya vitabu vyake vyenye mafundisho ya uumbaji wa kila kitu.
lakini kama hauamini basi ni ngumu sana mkuu. ila mambo ya imani yanahitaji sana kufikiria beyond. jiulize kwanini hatuwezi kutengeneza damu tukaongezea watu mahospitalini instead tunahimiza hatu wachangie ili ipatikane ya kuongezea. it means yupo aliye itengeneza ambae elimu yake hakuna anaeijua zaidi yake ndio maana hata hao wazungu wanasayansi wanao aminiwa hawaijui hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…